Mamaaaaaa Aminaaaa.......! Ngoja nikatafute kigodoro na matarumbeta fasta kunogesha hii singo
lowasa si chochote ndani ya ccm, asisubiri kuachwa atoke tu hata sasa na ccm itapeta kama kawa, heri ya nusu shari kuliko shari kamili, lowasa ni shari kamili
#Mshana jr, hii sio joke, ni very serious...haaaa...yaani CCM tuko hali mbaya...tukilogwa tu tukajifanya cjui Lowassa nn, CCM hiyooo kaburini...yaani CCM hali mbaya...we have to agree to terms and conditions...na nyakati ndio sasa, LOWASSA ni Simba...!!!!
LOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM
Umu JF kuna habari uwa zinaanza Kama jokes utani fulani mwisho wa siku zinakuwa za ukweli
Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
LOWASSA hawezi bila CCM, Acheni kujidanganya!
Ukawa wakimpokea lowassa ntaipigia kura ccm
Hata kama atahongo billions viongozi wa ukawa hawawezi kumpendekeza na hawawezi kumkubali by any means. Hauziki huyo
ukiona mtu anamsifu mtu mchafu kama Lowassa ujue yeye ni mchafu zaidi raisi ajaye chaguo la watanzania ni DR Slaa pekee yake hana skendo za wizi kama ccm
Kwenye hii mada kuna michango ya watu ambayo ningependa leo watueleze wamebadili mawazo vipi... ama waliamini walichokisema humu au hawakukiamini.
EL ni kielelezo cha vyote ambavyo ukawa wanapinga. Haitawezekana kumpokea kwa vyovyote vile. Labda kama ukawa watakuwa wamerukwa na akili.
UKAWA ya wapi,hatutaki majizi sisi
Utadhani ulikuwa kichwani mwangu Mkuu, hakuna sababu yoyote ya huyu fisadi kukaribishwa UKAWA.
UKAWA hakuna nafasi ya mafisadi aende zake huko. UKAWA hawawezi kufanya makosa ya kipumbavu ya kumkaribisha huyu fisadi.