Mjukuu wa Mohammed Ali

Mjukuu wa Mohammed Ali

Mohamed Ali zamani akijulikana kama Cacius Clay. Aliingia kwenye masumbwi baada ya kuibiwa baiskeli yake na wahuni, wakati anatoa kichapo ndio mtu mmoja aliyemuona akamshauri kwamba, akiwa bondia anaweza kupiga pesa ya maana sana, it was and it worked. Hapo alijulikana kama Cacius Clay, baada ya kufungwa ndipo akabadiri dini na kua Muislamu na kuitwa kwa jina la Mohamed Alli. RIP Legend
 
Back
Top Bottom