SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 552
- 1,306
Mtoto wa kiume wa Laila Ali amefanana sana na babu yake ambaye ni Mohammed Ali (RiP)
Ukichapiwa ndo unaambiwa kafanana na Babu yake!Mtoto wa kiume wa Laila Ali amefanana sana na babu yake ambaye ni Mohammed Ali (RiP)View attachment 2157350
Duh aisee ni copy and paste, kweli damu nzito kuliko maji.Mtoto wa kiume wa Laila Ali amefanana sana na babu yake ambaye ni Mohammed Ali (RiP)View attachment 2157350
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Rangi zao nzuri. Jua la kwa Mtogole linatufanya tuwe na rangi ya kambale mamba
Huyo wa kushoto ni Laila Ali, Mtoto wa Muhammad Ali, huyo wa kulia ni mtoto wa Laila Ali.Sijui Kwanini hujatolea maelezo huyo wa kushoto..[emoji28]
Mawazo dhaifu na fikra dhaifu. Unaweza usije kufanikiwa maishani kwa mawazo na fikra dhaifu
Sijui kwanini hajarithi kipaji Cha baba yakeMtoto wa kiume wa Laila Ali amefanana sana na babu yake ambaye ni Mohammed Ali (RiP)View attachment 2157350
Sio kweli mbona mimi niliwahi okota dodo chini ya nguzo ya umemeTUNDA HALIANGUKI MBALI NA MTI!!!
Dahh!😂😂🤣Laila Ali.
Kuna mdau mwenye connection?
Maelezo yapo.Sijui Kwanini hujatolea maelezo huyo wa kushoto..[emoji28]
[emoji817] ndivyo.Huyo wa kushoto ni Laila Ali, Mtoto wa Muhammad Ali, huyo wa kulia ni mtoto wa Laila Ali.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahaha, utapigwa ngumu hadi usahau kwakoLaila Ali.
Kuna mdau mwenye connection?