chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,034
- 3,076
Kwa heshima na Taadhima naomba nitenge dakika chache ili kuwafahamisha mambo machache sana kuhusiana na The GREATEST. Juzi tar 3 june alitimiza miaka 10 tangu afariki.
THE GREATEST Muhammad Ali alikua anauwezo wa kushusha Mvua ya ngumi nzito ambazo hutajua zitatokea upande upi
Tofauti na mabondia wengine, Muhammad Ali alikua hakingi mikoni kuficha uso, bali alikua anakwepa Ngumi kwa kutikisa kichwa tu huku amening'iniza mikono yake chini. THE GREATEST
Muhammad Ali, mwanzo alikua anaitwa Cassius clay. mpaka anapata umaarufu kwenge ngumi alikua anaitwa hivyo. Baada ya Muda akabadilisha jina Akajiita Muhammad Ali. Lakini baadhi ya mabondia kwa dharau hawakutaka kumuita kwa jina lake jipya.
Moja ya Bondia aliyeleta dharau ni huyu. Muhammad Ali akamwambia utalitaja jina langu katikati ya ulingo. siku ya mechi alokua akimshushia kichapo kikali huku akimuuliza, "what's my name ?"
Muhammad Ali, THE GREATEST. Icon of boxing