Mjue Mungu wa Freemasonry

aisee n vile hatujui lolote na tulilotangulia kujua ndilo tumeshika tukiamin tofauti tumekwisha na ukwel bado hatujui yan n full matatizo
 
😁😁😁 wala sina haraka ya ku coment. Ni kwamba kilichoandikwa hapo juu mbali na kujifunza ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Imagine akili zetu zilivyojazwa imani za kikristu na kiislam afu uje uwaambie hivyo. Watakupuuza tu.
seriously inakuchukua mda kuamin tofauti na ulivyokwishaga aminishwa
 
Maswali ( kama naruhusiwa) ni vipi jinsia Moja itoroke kwenye mwili wenye jinsia mbili tu bila mwenye jinsia kujua? Ni vipi yote yaendelee bila jinsia kuu kujua badae? Na alienda kwa kujificha kutafuta nn? Je ni vipi ww wa If ujue na huyo Mtoto wao asijue? Ni vipi wabishane mama Mungu na mwanae bila Baba kujua? Na kama alijua akafanya nn upande wake kutokana na mabishano? Reminder: dhambi zote utasemehewa ila sio kumkufuru Roho mtakatifu kumuita mwanamke, Mtoro , mwizi, mbabe , hajieshimu.
 
Do you call Raha mustarehe extreme hunger, poverty , extreme desire , dhambi za kutisha mauaji kila kukicha, majanga everywhere ushoga wa kufa mtu( may be ur blind bro)
 
Hapa chini yesu wako hakudanganya?

Mathew 16:28
"Truly I tell you, some who are standing here will not taste death before they see the Son of Man coming in his kingdom." .
Duu sasa kwani umehakikisha amerudi na watu wote wamekufa ? Maan uongo ni Hadi neno likamilike au ushaenda mbele ukarudi nyuma mwenzetu?
 
Hujaelewa

Yesu alikuwa anawaambia waliokuwa mbele yake wakati wa hayo mafundisho yake kuwa wapo waliokuwa pale hawatakufa mpaka atakaporudi. Je hadi leo hawajafa?
Tuambie wewe uliwahesabu wote na unawajua kwa majina na ulete death certificate zao hapa au ye alispecify ni akina nani hao utuoe uthibitisho wamekufa wote tayari?
 
Hapa umeongopa hata shetani wako tofauti maan shetani wa Mungu wa kristo ni muabudu sanamu mnzinzi muasherati muuaji muongo hashiki sabato ya bwana haheshimu baba na mama, ana miungu Mingi ana tamaa na Mali za wenzake and mostly Hana upendo. Lakini kuna watu shetani wao haabudu sanamu wengine anafuata sabato wengine ana Mungu mmoja nk
 
Kama jay z uliemtaja ni Moja wapo kwann wanajilimbikizia Mali Kwann wanauza madawa ya kulevya na kuua watu(Jay-Z huwa anasema anadeal na hvyo vitu)
 
Ko Yesu alivyosema yeye ni bwana wa sabato alimaanisha yeye ni mwana wa laana?
 
LIKUD

Kuna mambo yanafikirisha sana
For instance kwa nini wachungaji wengi siku hizi wanatumia bendera ya Israel kwenye Magari Yao na Makanisani Wakati Wayahudi hawamuamini Yesu Kristu Kama ni Masiah

Kwa jinsi wayahudi walivyo wapotoshaji na wauaji; siamini Kama Mungu wao ni Mungu ninayemuamini. Maybe hii taarifa ina ukweli but it does not explain Mungu yupi aliharibu Sodoma na kwa nini Yesu alizaliwa Israel sio Syria; Saudia wala Yemen.
 
Alizaliwa Israel kwa sababu neno la Mungu halibadiliki kwa maan alimuahidi Ibrahim mtumwa wake mwaminifu kuwa atamuinulia ukoo wake. Kama babu zako wasingekuwa wanaabudu mizimu wangemjua yeye may be angezaliwa hata upareni.
 
Ok kwa maan hyo yeye aliumba laana?
Avatar yako tells me something real bad,kwa hiyo nisingependa kuendeleza ubishani na wewe,kwa kuwa najua hatutamaliza .Read this👇Note that 996 na 666 in the forces of darkness ni sawa!


Ufunuo13:15 Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe.

Ufunuo16:Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;

Ufunuo13:17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.

Ufunuo13:18 Hapa ndipo penye hekima. **Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.

**Mimi Mungu amenipa akili mkuu.
 
Lete hesabu hii ya mtu mnaeabudu nae siku Moja Vicarius Filii dei ( vicar of Jesus Christ) Yoyote avunjaye amri Ile iyonekanayo kuwa ndogo zaidi basi amevunja zote. Ataadhimu kubadili nyakati na majira.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…