Mjue Mungu wa Freemasonry

Ntaelezea kwa uzuri baadae. Ila Aeon Sophia na Christo wanaunda " the original holy trinity' Sophia = the Holy Ghost.
Mmmh.... Sophia si umesema sehemu ya ke ya huyo Mungu wako mkuu...au Sophia ndo kiwakilishi cha hao wengne..??

Kama yesu na ni Mungu vipi wakina nabii sulayman,yakubu,yunus,Musa, Ibrahim, Mohamed....

Ila angalia sana sehemu unayochukua maarifa,sio kila unachokisoma unakichota...utapotea,kila kitabu na mwalimu/mtume wake.
 
Ntaelezea kwa uzuri baadae. Ila Aeon Sophia na Christo wanaunda " the original holy trinity' Sophia = the Holy Ghost.
Sophia siyo holyghost ni aina ya hekima kwa wanafalsafa wa kigriki. Badae ilichuliwa na agnostic (philosophers) wa mambo ya elimu ya Mungu, ambapo wao walisema sophia ni sehemu ya uuguuke, kama ukivyoeleza ila badae kanisa lilipiga marufu mafundisho ya upotoshaji baada ya mtaguso wa nicea 300 AC, na concept ya trinity ilitumiwa kufundishwa.
 
ur still a learner
 
Mkuu kwelii jifunze iliii ujue sio lazima wakuamini kaka hivyo kwa upande wa pili shilingi ina make sense bro mama wao hawataki nipe muendelezo ili nijue mengi ambayo yamekuwa kama siriii kwa viongoz wetu wa din hawatufundishi yaliyopo chino ya kapet kaka

Nipe muendelezo maana kuna jambo nataka niliunganishe na hili ili nipate dhana ya pamoja jambo lenyewe ni la mwanamke LILITH pia jambo la FATIMA huko Portugal nisaidie muendelezo wa huu uzi wako hata inbox ww ni mchimbuaji na ikiwezekana nipe source za upatikanaji wa haya mavitu

Nisaidie haya mautunduuuu

stoplight
 
Back
Top Bottom