uncle virus
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 124
- 287
Shida hawa Miungu wana emotions, fear, uncontrollable instances kama sisi akina jamali na Iddi, sasa huo Uungu wao sijui unawasaidia nini. Hapo ndo nadharia za dini zinageuka kama mapambano kati ya falme za kale