beatboi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 685
- 1,599
kwa vigezo gani wanachagua na umli ganiJamaa hawajitangazi sema watu wasiowaelewa ndo wanawatangaza......hio ni secret society...wanajichagua wenyewe tu
kwa vigezo gani wanachagua na umli ganiJamaa hawajitangazi sema watu wasiowaelewa ndo wanawatangaza......hio ni secret society...wanajichagua wenyewe tu
Kama hawatangazi wewe na wengine wameijuaje? Pia wao hufaidika nini wasipoitangaza?Story tu
Sasa huyu the most high (Sophia na Aeon)Nope ana part zote mbili ya mwanamke na mwanaume. Ya mwanamke inajulikana Kama Sophia na ya mwanaume ni Aeon.
Wana hodhi the real power. Wana amini wao ndio Wana maarifa sahihi " True knowledge" and according to them the true knowledge will help u to acquire 3 things and 3 things only:Kama hawatangazi wewe na wengine wameijuaje? Pia wao hufaidika nini wasipoitangaza?
now that's selfish na ina contradict wanachokiamini,huyo the most high wanayemuamin especialy the feminine part ambaye ni sophia kama ulivyosema yeye ni full of love,sasa hapo where is the love?Wana hodhi the real power. Wana amini wao ndio Wana maarifa sahihi " True knowledge" and according to them the true knowledge will help u to acquire 3 things and 3 things only:
1. To acquire power
2. To maintain power
3. To protect power.
Haya maarifa waliyo rahusu watu WENGINE wayapate ni kivuli tu " mere shadow" Cha maarifa yenyewe...
Wao ndio Wana hodhi maarifa sahihi ambayo ndio hayo memba akiyafahamu halafu akatoa Siri anauwawa
So hawataki laymen wajue kuhusu Siri cause they want to protect their power
Kwa habari ya uselfish, Tatizo halipo kwa AinSoph. Tatizo lipo kwao... Ain Soph ni Mwanga Mkuu " The Great and Ineaffable Light" Tabia/sifa za Mwanga/NURU unazijua?9
now that's selfish na ina contradict wanachokiamini,huyo the most high wanayemuamin especialy the feminine part ambaye ni sophia kama ulivyosema yeye ni full of love,sasa hapo where is the loveTatizo ati
9
now that's selfish na ina contradict wanachokiamini,huyo the most high wanayemuamin especialy the feminine part ambaye ni sophia kama ulivyosema yeye ni full of love,sasa hapo where is the love?
yeah ukisoma vizur nimeainisha tatizo liko kwao,ndo nkahoji mbna wanaenda kinyume na Mungu wao?Kwa habari ya uselfish, Tatizo halipo kwa AinSoph. Tatizo lipo kwao... Ain Soph ni Mwanga Mkuu " The Great and Ineaffable Light" Tabia/sifa za Mwanga/NURU unazijua?
Kweli mkuu, upapa wa Rumi ndiyo ulibuni na kuianzisha dini hii, kama vile ambavyo wazo la kuianzisha BAKWATA lilivyoasisiwa na ukatoliki hapa nchini.Dini ya kiislamu ilianzishwa na Vatican.
yeah ukisoma vizur nimeainisha tatizo liko kwao,ndo nkahoji mbna wanaenda kinyume na Mungu wao?
Leo saa tatu usiku Hadi saa tano nitatoa maelezo ambayo yatatoa majibu yako yoteMkuu hujaelezea hawa alitokeaje kwa mujibu hiyo dini.
Na adamu baada ya kutupwa duniani alikua peke yake au alikua na Hawa.??
Umesema Hawa alikua mtoto wa Adam, Adamu si wa kiume alimzaaje Hawa sasa??
Ur still a learnerUnaingia kisha unatoka, uweleweki yani unachanganya mno madesa, sasa ngoja nikuelezee kwa hii story yako utaokota wasioijua Bible tu ila kwa wanaojua maandiko uwapati ng'o kwa sababu kuna sehemu aueleweki, na kwa stahili hii Freemasons wamepotea ila nimefurahi kumtambua masihi mwanamume wa wanaume huyo ndio habari ya ulimwengu, na ukiwaona hao madeval warship waambie Yesu ndie njia kweli na uzima....
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app