Mbona sijaeka avatar braza au we kuna avatar unaiona kiroho kwangu( jokes tu)Avatar yako tells me something real bad,kwa hiyo nisingependa kuendeleza ubishani na wewe,kwa kuwa najua hatutamaliza .Read thisNote that 996 na 666 in the forces of darkness ni sawa!
Ufunuo13:15 Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe.
Ufunuo16:Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
Ufunuo13:17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
Ufunuo13:18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.