Mjue Mungu wa Freemasonry

Izo zote ni dhahania tu... Kwan chanzo cha Mungu au kabla ya Mungu alikuwa nani. Na yupi chanzo cha uyo wa mwazo kabisa... Alijiumba mwenyewe au ilkuaje...
 
kwa maana iyo hata ww dhahania maana ufahamu kwanini umezaliwa na kwanini unapoteza mwili wako
 
binadamu mbali na gamba la mwili ni roho aliekuweko tangu na tangu na aifahamiki lini mwishowe isipokuwa kila upya huwa na muundo mpya wa kiufahamu na kadri mwili unapomalizika ndipo mwanzo wa ufahamu mpya karika nafsi,mwili humea, kunyong'onyezwa na kumalizika kupitia uakisi wa nguzo uhai ambayo nguzo hiyo ni ya mmiliki yaldabaoth ambae ndie aliebuni maisha ya miili patano kutoa katika ngazi ya tatu ya maisha ya kiroho,hapo mwanzo wanadamu walikuwa katika maisha ya kiroho ambayo yalizungukwa na uthamani wa aina yake nguvu ubora kupita maelezo..

kadri mageuzo na matoleo yalivyozidi ndivyo binadamu walivyo dhidi kuchuana na muhimili wao aliewajengea ulimwengu ilizunga vita kubwa kati ya yaldabaoth, mzaziwe sophia na nduguze binadamu ambao katika maaandiko ya vitabu vya kidini walipewa majina ya bandia kama malaika waasi walizusha vita kuu katika makadhi yao ya awali plate no7 almaarufu kama mbingu ya7,wakiwa na viongozi wao katika kila makundi yasiyo na hesabu katika pande zote za mbingu hiyo ya7 kwa bahati waliweza kumudiwa na kufutwa kwa baadhi yao historia za vitabu vya dini ikifinuka jamvi kwa madai duniani ndipo kulipochafuka na kufutwa lakini si hapa na binadamu tumetawanyishwa mbali mbali kuna waliotupwa na uwezo wa nguvu zao na kuna waliofungwa sehemu tofauti za plate na kila plate ikiwa na kizuio mzunguko wa maji juu na chini yenye kina kisicho na utanuzi wa nje na kila plate ndani ina vipande vya plate kadhaa....nitaelezea siku mods wakiacha tabia za kufuta nyuzi zangu
 
Freemasons ni watata sana. Ni waongo waliopitiliza. Na wamejipanga kweli kweli. Wako karibu kila sehemu nyeti ya dunia ili kupenyeza agenda zao. Hata kanisani na nyumba nyingine za ibada kuna waamini wasiri wa Freemasons.
Na Mungu wao ni Mungu wa hela, mali na madaraka. Haya mengine wanatupiga sound tu. Ila wanajulikana. Mwanga na giza haviwezi kukaa pamoja.
 
Kabla ya mwanga lilianza giza. Kusingekuwa na giza hakuna umuhimu wa mwanga.
 
"Mahabone" is a secret word that means "the Grand Lodge door opened." It is whispered into a candidate's ear when they are entering the third degree of Masonry by means of the Lion's Grip."

Hamim Abif ndio muanzilishi wa uongo huo 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
"Mahabone" is a secret word that means "the Grand Lodge door opened." It is whispered into a candidate's ear when they are entering the third degree of Masonry by means of the Lion's Grip."

Hamim Abif ndio muanzilishi wa uongo huo

Kwanini ni uongo?
 
binadamu mbali na gamba la mwili ni roho aliekuweko tangu na tangu na aifahamiki lini mwishowe isipokuwa kila upya huwa na muundo mpya wa kiufahamu na kadri mwili unapomalizika ndipo mwanzo wa ufahamu mpya karika nafsi,mwili humea, kunyong'onyezwa na kumalizika kupitia uakisi wa nguzo uhai ambayo nguzo hiyo ni ya mmiliki yaldabaoth ambae ndie aliebuni maisha ya miili patano kutoa katika ngazi ya tatu ya maisha ya kiroho,hapo mwanzo wanadamu walikuwa katika maisha ya kiroho ambayo yalizungukwa na uthamani wa aina yake nguvu ubora kupita maelezo..

kadri mageuzo na matoleo yalivyozidi ndivyo binadamu walivyo dhidi kuchuana na muhimili wao aliewajengea ulimwengu ilizunga vita kubwa kati ya yaldabaoth, mzaziwe sophia na nduguze binadamu ambao katika maaandiko ya vitabu vya kidini walipewa majina ya bandia kama malaika waasi walizusha vita kuu katika makadhi yao ya awali plate no7 almaarufu kama mbingu ya7,wakiwa na viongozi wao katika kila makundi yasiyo na hesabu katika pande zote za mbingu hiyo ya7 kwa bahati waliweza kumudiwa na kufutwa kwa baadhi yao historia za vitabu vya dini ikifinuka jamvi kwa madai duniani ndipo kulipochafuka na kufutwa lakini si hapa na binadamu tumetawanyishwa mbali mbali kuna waliotupwa na uwezo wa nguvu zao na kuna waliofungwa sehemu tofauti za plate na kila plate ikiwa na kizuio mzunguko wa maji juu na chini yenye kina kisicho na utanuzi wa nje na kila plate ndani ina vipande vya plate kadhaa....nitaelezea siku mods wakiacha tabia za kufuta nyuzi zangu
Fungua uzi mkuu!! Usisahau kuni tag
 
Back
Top Bottom