Mjue Mungu wa Freemasonry

Inakuwaje kuhusu hawa mabwana wanaotangaza kila siku kuwa JIUNGE NA FREEMASONS hivi wanayahubiri haya kweli?kifupi navutiwa na mahubiri halisi ya FREEMASONS inaonekana wapo so deep kuliko hizi imani zetu za kawaida
 
Mdogo mdogo mnatuaminisha kuna mungu mwingine kuliko MUNGU TUMJUAYE.
Very smart move na mtawaokota wengi.

Mathayo 24

4 Yesu akawajibu, “Jihadharini, mtu yeyote asiwadanganye. 5 Kwa maana wengi watakuja kwa Jina langu, wakidai, ‘Mimi ndiye Kristo,’ nao watawadanganya wengi.

Hos 4:6 SUV

Watu wangu WANAANGAMIZWA kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
Umeona eeh
Wanajitahidi sana kuaminisha watu kuwa nao wanamuabudu Mungu
 
Inaelekea huyu mungu tunaemjua sisi ni katili sana, hii ni kutokana na maandiko yako.

Kingine napenda kujua huyu mungu sophia na mungu Aion hawa walikuwa hawana mpango wa kuumba kiumbe kabisa mpaka huyu mungu lolabothar akapata wazo.
 
Daah mnatuchanganya kichizi yani..

Hatujui tuamini nin yani,lakin sina wasiwasi najua siku ya mwisho Mungu atawachoma wanaotuongopea, sisi tunaodanganywa tutakula na bata mezan kwake
😂😂😂😂
 
Maswali machache kulingana na bandiko;
1. Viumbe vyote vilivyoumbwa na laldabaoth ni nakili ya vilivyopo spiritual world
(a) Je, kwanini binadamu tu ndo anaelezewa kupuliziwa pumzi (kupewa roho ya Aieon) na muumba wake? Vipi kuhusu miti na wanyama?
(b) Vipi wanyama na viumbe hai wengine wao hawana roho? Ikiwa binadamu amefungiwa kwenye jela ya mwili asijitambue je ng'ombe ni stahiki yake kuwa alivyo?

2. Taswira ya ghadhabu ya laldabaoth ika-akisiwa katika bahari na ikageuka lusifa au shetani, kwanini shetani azungumziwi tena kwenye muktadha wake tumjue nayeye side effect zake?

3. Sophia (mungu kike) =Nyoka, Nyoka=Mkombozi wa binadamu(kulingana na wajenzi huru)
Kulingana na biblia ni kinyume chake yaani Nyoka= Shetani, Shetani= Anguko la binadamu.
Je, hili unalielezea vipi?

4. Ikiwa Nyoka ni Alama ya mungu mkuu "god the most high" na Nyoka huyu huyu ni symbolism ya shetani au lusifa kwa imani ya wakristo na imani zingine. Je, haitoshi kusema kuwa mungu wa wajenzi huru ni shetani?

5. Laldabaoth anashuka duniani akiwa hana taarifa kuwa adamu anajitambua baada ya kusanuliwa na sophia, Je hii inawezekana vipi kwa kiumbe wa kiroho na materialist kutokujua kitu kilichopo ndani ya uwezo wake mpaka afike eneo la tukio?
 
Mkuu
Hakika unaweza kuzungumzia kuhusu WajenziHuru kwa ufassha ukaeleweka. Lakini unapomzungumzia
Mungu basi inahitaji uvuvio kumuelewa na hata kumuelezea. Ukifanya comparison ya maandiko bila kuwa na pumzi ya Mungu kwa kila andiko hakika hautaweza kufanikisha lengo la kumjua ama mumzungumzia Mungu
 
Hello JF,

Katika uumbaji wa vitu vyote vinavyoonekana Kuna hatua za uumbaji na majira ambayo hayo yote yalitokea.

Ufahamu wa aliyeumba yaani CHANZO HALISI (REAL SOURCE) alikuwa peke yake (MAHALI PAKE)kabla ya roho na nafsi yeyote, ndipo akasikia uumbaji ukimsifu ndani ya Moyo wake, akatamani uwe halisi.Ndipo akaengua Moyo wake kushoto (Moyo wa mwanzo)na kuweka heshima na utajiri (vyote vya kuumbwa) mithali 3:16 Ili aviumbe viwe halisi ila yeye hakuingia ndani ya huo Moyo.

Moyo wa mwanzo akaanza uumbaji katika mwanzo 1:1. Hatua ya kwanza Alipotaka litokee kanisa (sio dini) akawaza akatokea Mwanamke (sio hawa mnaowajua) ishara ya kwanza mbinguni ufunuo 12:1. Huyu mwanamke ndie aliyeteka uumbaji ukafanyika chini yake ila sio kwa kusudi la CHANZO HALISI, freemason na wayahudi ndo wanamwita Sophia ila ni roho chipukizi iliyotokea baada ya Moyo wa mwanzo kushindwa kutekeleza alichokuwa amepewa.

Hatua ya pili Alipotaka zitokee sifa akatokea nyoka(hila) Ufunuo 12:3

Hatua ya tatu Alipotaka kuwepo amani ya Kila kitu ikatokea vita. Ufunuo 12:7

Hivyo mafaili yote ya viumbe vyote yaliwekwa katika huo Moyo wa mwanzo rejea Yeremia 1:5 na warumi 8:29 Ili viumbwe kwa uhalisia (muonekano) ila baada ya kutekwa na mwanamke ndio uumbaji ukawa unafanyika kwa amri na matakwa ya huyo ufunuo 12:1 (mwanamke). Ndo maana mchawi au mganga alikuwa anaweza kuona nyota yako na vitu ulivyokusudiwa kuwa navyo kabla hujazaliwa nakuviiba sababu wao ndiyo walikumiliki na kuwa katika yao. Isaya 26:13-18

Ilikuwa ni ngumu kuyajua haya pasipo kupata ufahamu ulio juu ya thiolojia ambapo ni kumjua Aliyeumba.
Ili utoke kwa huyo mmiliki Mhubiri 7:26.

Mungu wa freemason unamkuta 2korintho 4:4, yeremia 44:17-18, ufunuo 12:1, matendo 19:27 aliyepotosha fikra za wengi wasimjue aliyeumba.

Majira ya kanisa (sio dini) mwezi unasiku 28 ivyo mwaka unasiku 336 ila Dunia iliongeza siku ya 29,30 na 31, mwaka ukawa na siku 365.

Kanisa siku zake ziko kama ifuatavyo:-

Jumatano- Nuru Moja Halisi
Alhamisi- Akili Moja Halisi
Ijumaa- Thamani Moja Halisi
J/mosi- Majira Moja Halisi
J/pili- Moyo mmoja Halisi
J/tatu- Hatma Moja Halisi
J/nne- Kustareheshwa na CHANZO HALISI

Iliuyajue haya lazma upate ufahamu ambao upo juu ya thiolojia, elimu ya Dunia na ulimwengu.Haya yote ninayokwambia ni kwa sababu tupo katika ufalme mwengine kabisa ambao ni waaliyeumba.
 
Interesting.

Shusha madini mkuu, napenda kujifunza yaliyojificha katika huu ulimwengu.
 
Kila mtu file lake la kuumbwa kwake lilikuwa na Kila kitu kusudi (utajiri) ikiwemo kumwabudu aliyeumba lakini kwakuwa mafile yote yalitekwa ndani ya Moyo wa mwanzo kukatokea crossmultiplication ya kugeuzwa kusudi Halisi la kuumbwa kwako.

Hujiulizi kwann Yesu Kuna maneno unajiuliza kwann alisema mfano mathayo 10:34-35 "Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga. 35 Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu;"
Aliyasema hayo kwakuwa file lake pia lilikuwa ndani ya Moyo wa mwanzo.

Hiyo yote ni kuonyesha jinsi gani vitu vilikuwa vimegeuzwa ndo maana alisema waliomtangulia ni wezi na wanyang'anyi waliomwibia alivyokuja navyo katika mathayo 21:33-39.
 
Aisee! Huu ulimwengu una vitu mingi vilivyojificha.
 
Back
Top Bottom