Re incarnationTatizo linakuja Sophia yeye yupo katika roho tu na sio katika mwili. Na mwanadamu ni roho iliyo fungwa kwenye mwili lakini haijitambui Kama ni roho. " IF TWO QUALITIES CANNOT MEET IN SUBSTANCE, THEY CAN BE BROUGHT TOGETHER ONLY BY EXTENSION.Sasa alipokuja kwa Adam ulisema alikuja kwenye umbile la nyoka!wakati nyoka ni mnyama sasa aliwezaje kuingia katika umbo la mnyama nyoka na wakati umesema ni roho isiyoweza kuingia katika mnyama?
Technically asingeweza kukaa peke yake,kwa kuwa kuzaa kwake haiwezekani na ana uwezo wa kufinyanga bila shaka alifinyanga kiumbe wa kufanana nae“Maandiko yao yanasema kwamba Ialdabaoth alipendezwa Sana na alicho kiona na akadhamiria kwamba ni lazima atengeneze kiumbe chenye sura na taswira yake.”
Ukisoma hiki kipande na kufikiri kwa uhuru huku ukirejelea tanzu za dini zote hasa kuhusu sanamu ni aidha wote wapo sahihi, hawapo sahihi au mmoja wapo ni sahihi au sio sahihi.
Kwa nukuu hii wala hakuna shida maana huyu Yesu na hayo maneno yapo kwa Freemasonry pia.Baada ya Yesu kuna Mungu Mkuu ambae ndio huyo sehemu ya Yesu na ambae Freemasonry wanamuamini badala ya huyu Mungu wa WayahudiMdogo mdogo mnatuaminisha kuna mungu mwinginevery amart move na mtawaokota wengi
Mathayo 24
4 Yesu akawajibu, “Jihadharini, mtu yeyote asiwadanganye. 5 Kwa maana wengi watakuja kwa Jina langu, wakidai, ‘Mimi ndiye Kristo,’ nao watawadanganya wengi.
Unajua maana ya "AWAKENING" haya endelea na werevu wakoJamiiForums 20
40 Na mzitumie akili, fikra na uwezo wenu mliopewa na Mungu kuutafuta ukweli, msiendeshwe kama ng'ombe malishoni na maji mitaroni na watu wachache wa kale walioziweka fikra zao kuwa sheria.


Umemsoma vizuri?? Anasema baada ya Mungu kuna Mwingine mkuu zaidi ambaye ulimwengu haumjui. Read between the lines mkuuKwa nukuu hii wala hakuna shida maana huyu Yesu na hayo maneno yapo kwa Freemasonry pia.Baada ya Yesu kuna Mungu Mkuu ambae ndio huyo sehemu ya Yesu na ambae Freemasonry wanamuamini badala ya huyu Mungu wa Wayahudi
Hapa chini yesu wako hakudanganya?Mdogo mdogo mnatuaminisha kuna mungu mwinginevery amart move na mtawaokota wengi
Mathayo 24
4 Yesu akawajibu, “Jihadharini, mtu yeyote asiwadanganye. 5 Kwa maana wengi watakuja kwa Jina langu, wakidai, ‘Mimi ndiye Kristo,’ nao watawadanganya wengi.
Hao ni Filmason mkuu hakuna kitu Kama hicho. Usidanganywe na movie za kinigeria
Kuna Freemasons na Filmason/firmason. Wewe unawazungumzia firmason



"Dunia ina mengi" hakiri mkichwa
Freemansory wamejitahidi sana kutengeneza fanatics ambazo zimegeuka kuwa secret and indeed secret kwa binadamu wengine.Wanasema huyo nyoka ndio alikuja kutukomboa wanadamu. Bila yeye Hadi leo tungekuwa Kama wanyama..
Wanasema Kama huyo nyoka ni shetani ( Lucifer) BASI Lucifer ana nguvu kuliko Ialdabaoth kwa sababu ameweza kupangua mipango yake ( kuwaweka Adam na Hawa bustanini waishi kwa Raha mustarehe maisha yao yote)