Mjue Issa Michuzi

Status
Not open for further replies.
anyway kama nimekukwaza na mcheza disco mwenzako wa enzi hizo sisi waungwana huomba msamaha na sintochangia tena hii Mjue mzee wa Mchuzi

You got it right mkuu, michuzi nimecheza naye disco na ninamjua kwa karibu sana mkuu, ila I am not so sorry kuwa nimekukwaza na kumsimamia.

Wasalimie mkuu!
 
We live in interesting times! so goes the adage.

Michuzi is a fighter jamani. Hivi kweli, huu ulimwengu utafanya nini watu waone kama na wewe una maana? kwanza kwa mtu kama yeye kuwa na blog ambayo kila mtanzania wa ndani au nje akiingia kwenye computer ndo stop ya kwanza ni achievement kubwa. Wengi tunasoma hata hapa JF hatujui nani analipia service...guys let us learn to appreciate the efforts of others-especially our fellow countrymen and women. Wivu na majigambo na kupondea havitufikishi popote. Na binadamu siyo kiumbe kamilifu, lets learn to embrace diversity and cerebrate differences. Personally, Iam eternally greatful kwa invisible kwa huu uhuru wa kuandika chochote na kusoma mawazo ya wenzangu bila gharama! Kwa kweli inasikitisha sana, pale ambapo kazi za wenzetu ni kuangalia negatives tuu..its sucks!

As FMES said, Michuzi ni role model kwa wale wote wanaotafuta from humble background, bila kuwa na my uncle au aunt kwenye systems. God bless you man
 
Michuzi ni mwanajamii mwenzetu anayetumia nafasi na muda wake kutuhabarisha yale anayoona yanaweza kutuelimisha au kutuburudisha.Kwa hilo tunamsifu.
Kupoteza muda kutafuta upande wa pili wa maisha yake ni kupotoka au kujishushia hadhi yetu maana maisha ya Binafsi ya Michuzi hayana athari ktk kwa taifa letu labda huko mtaani kwake (kama anachukua wake za watu au kuwachungulia).
Wapo waliopewa dhamana ya nchi na ni WACHAFU,hao tutawachambua upande wa pili wa maisha yao na hata upande wa tatu kama upo.
 
Kupoteza muda kutafuta upande wa pili wa maisha yake ni kupotoka au kujishushia hadhi yetu maana maisha ya Binafsi ya Michuzi hayana athari ktk kwa taifa letu labda huko mtaani kwake (kama anachukua wake za watu au kuwachungulia).
.

Hahahahahahahaha...you made the beggining of my weekend...hope hii weekend itakuwa na neema...who knows..some one might ask me for a bottle at Rose Garden!
 
Ni kushusha hadhi hapa JF kujadili akina Michuzi, eti nilicheza naye disco sijui wapi nikiwa na diga diga, Chris Phabby Bob Rich, Choggy, Chris Phaby, Shebby, Franco, Gibbson, Ray Abdu Michuzi ni 'Robot na Breakdance' kina Mwamvita, Shalamar, nilikuwa naye miaka hiyo -Ushirika Club, YMCA, Rungwe Oceanic na 'mjini dar', jamaa ni mtu poa sana.
...ujinga huu tujadili mambo ya maana!!! Tumwache na blog yake.....tujadili mambo ya taifa letu jamani...wengine hapa nilikuwa naheshimu sana michango yao...lakini hili mmmmhhh laninitia shaka...huu ni mtazamo wangu, si lazima niwe sahihi...

...ama kweli without knowledge there is no freedom!!!

(NB; no offence intended)
 
Michuzi kwanza asante kwa blog yako..keep it up..i cud say its the biggest blog from bongo..
bUT..punguza siasa katika blog..yes u work in the govt na ujajua wengi wanaokuweka mjini..tumenotice mara nyingi unablock comments that hit closer to home..
be careful..
kumbuka siri ya blog ni comments..utapozidi kuzicontrol people will go elsewhere...

All in all , keep up the good work and updating us on bongo stuff..
 
PASCAL MAYALA....(ambaya naye toka siku nyingi huwa anaendesha racing motocycle bila helmet....stimes kukiwa na wasichana warembo tofauti)).........!
MORE ABOUT MICHUZI.....?


"Naye Pascal Mayala, ATITABABUJIIIIII!"
 

Kwa mtu kama yeye kuwa na blog ambayo kila mtanzania wa ndani au nje akiingia kwenye computer ndo stop ya kwanza ni achievement kubwa....guys let us learn to appreciate the efforts of .. binadamu siyo kiumbe kamilifu, ...Kwa kweli inasikitisha sana, pale ambapo kazi za wenzetu ni kuangalia negatives tuu..its sucks!

As FMES said, Michuzi ni role model kwa wale wote wanaotafuta from humble background, bila kuwa na my uncle au aunt kwenye systems. God bless you man

Mengi unayosema ni kweli kabisa ndugu yangu. Lakini, naona kuna tatizo katika hoja yako. Wengi wanaotetea kitu au figure fulani hapa JF wanatumia hoja kama yako kimakosa, kwamba kwa sababu hakuna aliye kamilika basi tusikosoane. La hasha! Mfano rahisi ninaotumia ni huu: mtu akikukanyaga bahati mbaya barabarani halafu akaendelea zake bila kukuomba msamaha, kama hajakuona wakati kakuona, utamshangaa au utasema hakuna aliyekamilika, hakutakiwa aniniombe radhi? Kwa nini binadamu tuna utamaduni wa kuomba msamaha wakati wote hatujakamilika? Ni kwa sababu mapungufu ya binadamu sio kisingizio cha makosa.

Tovuti ya michuzi ilikuwa inanuka matusi. Watu manapekeleka habari za vifo vya mama zao, halafu mtu anaandika..'aaah mama mwenyewe anaonekana alisha ishi miaka 60, na mategemeo ya maisha Tanzania ni nusu ya hapo, kwa hiyo inatosha.' Michuzi nae anaposti! Anapiga picha na watu, halafu anawaposti, watu wanaanza harusi ya kuwamaliza. Ndio maana nilimchukia sana michuzi.

Halafu, hii hoja ya kusema Michuzi hakuwa na mjomba kumpigia mapande, hicho ni kitu kizuri sana. Lakini inanikumbusha Mkuu Pinda alivyo sema alivyo twaa ukuu wa mawaziri: mimi ni mtoto wa Mkulima. Nilicheka sana. Tanzania ndio tuko kwenye kizazi cha kwanza ambacho sio watoto wa Wakulima. Kizaza cha kina Pinda wote wakulima. Lowassa, Sumaye, Malecela, Warioba, Salim, Msuya, Sokoine, Kawawa, toka Waziri Mkuu wa Kwanza Nyerere, wote walikuwa watoto wa wakulima.

Najua hatuongelei siasa hapa. Lakini hoja yangu ni kwamba Michuzi kufanikiwa bila kupigiwa pande sio chunuka. Kizazi chake chote ni watoto wa walala hoi! Asilimia kubwa ya Watanzania ni masikini, na wanaorithi mafanikio na kupigiwa mapande ni wachache mno. We nitajie tajiri Bongo au mkuu yoyote ambae karithi au kupigiwa Pande. Ni siku hizi ndio watoto wa Wakuu wanapewa makazi na Ubunge wa kuchaguliwa kwa sababu Rais anajuana na Baba zao. Lakini sio kizazi cha Michuzi. Sijui unakubaliana na mimi?

Mwisho kabisa, nadhani Watanzania lazima tujifunze tabia ya kuvumilia kukosolewa!
 
Wakuu muwakosoe wabunge na ma-DC, au viongozi wa serikali, sio bina-adam mpita njia anyejitafutia riziki yake, anzisha blog yako na wewe uone kama kuna mtu atakuja, Michuzi oyeee! Michuzi juu! juu! juu! zaidi!

Asiyemtaka akaanzishe blog yake, kama kukososa ni mali anza kujikosoa mwenyewe kwanza tukuone, acheni roho chafu na za kimasikini, Michuzi weka vitu mwanangu asiyetaka atafute njia!

Bravo Michuzi!
 
Yaani sasa wajasirimali ndo tulipofikia hapo sasa? Kusemana kiasi hiki? Kama ulikulia nyumbani na unafahamu lazima upige misele ili nguna itimie, sidhani afanyacho braza misupu ni cha ajabu. Hebu na tuongee cha maana!
 
Historia ya Tanzania HAIWEZI KUZUNGUMZIWA BILA MICHUZI KUTAJWA!Ni mwana habari ambaye ni victim wa siasa za Ujamaa..ambazo bado zinakumbatiwa kwa namna moja ama nyingine!

Guys we've already respected Mwl. Nyerere and pls let him rest in peace with dignity and respect for leading us through colonialism to the Independence!We all love Bro mathupu!Remenber?He's the only one we use to listen to when Young Africans used to play Simba Sports(wekundu wa MsimBAZI),when Pan Africa(ment African should be one!)played Nyota Nyekundu with Rosta Ndunguru and Kassanga Bwalya!...

Before when Lunya and Kipese came through and retired!...I used to warm up ma "national"batteries with Iddi and some of the other mates so that i can listen to Michu and Charles Hillar broadcasting!Back at the time Ushirika ya Moshi used to be the bomb because they were fed good food,free education and and free of too many thinking because in the social hierachy..psychologically they were at least satisfied!We used to listen to everything through our radios!..Mostly Mkulimas..cause there was no imporation at that time and if you do so you're muhujumu uchumi..and therfore news and info was very scarce!

Mwalimu at that time used to listen to JFK..THEN Translate the speech in swahili and speak to the people through RTD!!Wanavijiji(SORRY TO MWANAKIJIJI) were so pleased for the wisdom of Mwl Nyere but there was no one else to listen to other than his excellence!Na at that time there was no Tv...only KBC from Kenya!and that was for only the people who lived close to the border with Kenya especially Kilimanjaro..since its close to Kenya!However Michuzi wasn't able to succed with the Capitalism system...he's just able to do so now!We should always thanks Michuzi for being able to provide us with Sports news!

I THINK BRO MICHU DIDN'T WANT TO VENTURE IN THE POLITICS B'COZ IT WAS TOO DANGEROUS TO DO SO at that time and period!Wives and husbands were all Spying each other for the sake of their lives!The only was to decalre yourself as non government (Nyerere) opposition affiliater inorder to get you and your family a bread,soap and all other necvesities..this means that Bro. Michu was a genious!This is because Michuzi was still able to make it and be successfull at this new generation more than even the kids of this generation!

Communication and understanding is very important at this generation...he still made it better more than some of the current generation kids...he's smart and likable!He actually links the past generation to the current one! And being able to make it in a new gen. better than a new gen..he's then one of the kind!

However..us together with him are also the victims of bad policies!Talking and broadcasting about sports was the only way to please the rulers!...and talking ABOUT POLITICS WAS DANGEROUS NOT ONLY FOR YOU BUT ALSO FOR THE FAMILYLI AFFAIRS! Mwalimu wanted citizens to just talk about Sports and not politcS!MITHUPU STILL MADE IT!

FOR ALL WHO SHARED THE PAIN WILL SUPPORT MITHUPU..AND FOR THE NEW GEN..THEY SHOULD KNOW MITHUPU FOR HIS CHARISMATIC!MICHUZI...IF YOU RUN FOR THE MEMBER OF PARLIAMENT..I SWEAR TO GOD THAT I WILL DROP EVERYTHING AND CAMPAIGN FOR YOU...YOU IS THE ROLE MODE AND PLS KEEP IT UP..AND WHY DONT KIKWETE CHOOSE YOU AS THE PARLIMENT MEMBER AND EVENTUALLY A MINISTER FOR SPORTS?

THE ONLY DIFF WAS THAT MA DAD WA SIMBA AND I BECAME SIMBA AND YOU WAS YANGA..THAT I LIKE IT NOW DUE TO THE HISTORIC AND PATRIOTISIMS ISSUES!
 
Jminishi1

Huyo ndio Muhidini Issa Michuzi (Baba Mamuu),owner of PHOTO POINTS (kuna wengine humu wanachangia lkn hata kumjua hawamjui) zote za Bongo kwenye masehemu mazuri mfano pale Mlimani city,nakule mikocheni.
 
kwa kingereza huyu bwana ataitwa "puppet" na kwa kiswahili ataitwa "kibaraka"...mi namjua michuzi kama mnafiki tu mwenye kujikombakomba kwa viongozi na watu wenye majina makubwa.
 
Wakuu muwakosoe wabunge na ma-DC, au viongozi wa serikali, sio bina-adam mpita njia anyejitafutia riziki yake, anzisha blog yako na wewe uone kama kuna mtu atakuja, Michuzi oyeee! Michuzi juu! juu! juu! zaidi!

Asiyemtaka akaanzishe blog yake, kama kukososa ni mali anza kujikosoa mwenyewe kwanza tukuone, acheni roho chafu na za kimasikini, Michuzi weka vitu mwanangu asiyetaka atafute njia!

Bravo Michuzi!


Ni Kweli Field Marshall, ninashangaa baadhi ya Wa-Tanzania wenzetu wana Roho mbaya kweli kweli. Hebu wajiulize
(1) 'Kufanikiwa kwa Michuzi kunawapunguzia nini?'
(2) 'Kutofaniniwa kwa Michuzi kutawaongezea nini?'

Mie ninakutakia kila la heri Bwana Issa Michuzi, endeleza libeneke kwenye blog yako.
 
Kaka Michuzi nimecheki nikagundua kuwa ID ya Issa michuzi bado haijachukuliwa. kaka yetu Michuzi hii ID yako ya sasa Field Marshall pia sio mbaya nayo ila ingependeza ungetumia Issa Michuzi. Karibu sana hapa JF Michuzi, mimi pia ni mdau mwenye mwezi tu hapa.
 
Mie ninakutakia kila la heri Bwana Issa Michuzi, endeleza libeneke kwenye blog yako

Amina mkuu, Michuzi weka vitu mwanangu twende mbele, haturudi nyuma tutageuka mafisadi, maneno ni mbele kwa mbele, baho! baho! mwanangu! ila sikujua mkuu kuwa mafanikio yako madogo yamekuletea maadui kisasi hiki duh! bongo kweli noma, watu wanataka ukale polisi, ukila kwa mrija hawataki!
 
Kaka Michuzi nimecheki nikagundua kuwa ID ya Issa michuzi bado haijachukuliwa. kaka yetu Michuzi hii ID yako ya sasa Field Marshall pia sio mbaya nayo ila ingependeza ungetumia Issa Michuzi. Karibu sana hapa JF Michuzi, mimi pia ni mdau mwenye mwezi tu hapa.


Mtumwa wa Allah, Mbona wewe unatumia ID hii (Allah's slave) hutumii jina lako halisi (kama Abeid au Mohammed au Abubakar n.k)? Mbona unataka mwenzako hata kama ni yeye atumie jina lake? Jitahidi siku zote kutaka mwenzako afanane nawe na sio wewe uonyeshe kisogo wakati unataka mwenzako waonyeshe uso.
 
Huyu ndiye walitaka kumpa awe mpigapicha wa JK. What a load of crap he is. Alishaanza kujisifu ohhh wanataka kunipa cheo kikubwa kule IKULU kisha kaenda London akaanza kupiga mapicha kwenye dula la ma dildo

says alot about the man and where his priorities lie
STA70161-1.jpg


maana huyu naona hata vetting ya siku nzima haikutakiwa


lakini ndio selebriti wetu huyo
 
Huyu ndiye walitaka kumpa awe mpigapicha wa JK. What a load of crap he is. Alishaanza kujisifu ohhh wanataka kunipa cheo kikubwa kule IKULU kisha kaenda London akaanza kupiga mapicha kwenye dula la ma dildo

says alot about the man and where his priorities lie
STA70161-1.jpg


maana huyu naona hata vetting ya siku nzima haikutakiwa


lakini ndio selebriti wetu huyo

Personaly sioni tatizo hapo, May be kuna point you want to make haijakuwa clear, hata mimi nikipata nafasi ningepiga picha, mit depends una motive gani.

Mzee leo hujaamka vizuri naona post zako za leo ziko too personal. KUSHAMBULIA SHAMBULIA TU WATU.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom