Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,643
- Thread starter
-
- #281
Ila wapwa hawanufaiki....wapo DRC na wanataka kurudi......Kuna comment yangu humu nimeonesha pia hili lakini huwezi kuacha kumsifu jamaa kwa hatua anazopiga. Fuatilia issue za Tech, entertainment, international conferences, utalii wa nyani tu unaingiza kiasi gani, foreign investments
Hapa Pk kajitahidi, imagine hub ya muziki East Africa ni Tanzania ila Tuzo za MTV zikaenda kufanyikia Rwanda, just imagine
Anasali tena sana anataka aishi maisha mapyaAnasali siku hizi
Mungu mkubwaAnasali tena sana anataka aishi maisha mapya
True mkuu lakini nchi gani East Africa haina "Royal families" πIla wapwa hawanufaiki....wapo DRC na wanataka kurudi......
Wanaonufaika ni wana ukoo wateule.
Bonge lubumbashi kamwaga wanajeshi wengi kuliko hata raia jinsi anaogopaOkay okay nimekupata mkuu.
Bonge aweke ulinzi imara naona hali ya sasa si shwari kabisa na leo ndio tutaona uhalisia wa wenye nia ovu wakoje japo hili haliwezi kuwa kwa leo pekee ila ujumbe utatumwa.
Kila la kheri mkuu tuko pamoja.
Abyarimana?Abby ni nani?
Sisi wenyewe tunataka kua royal family π€£π€£π€£True mkuu lakini nchi gani East Africa haina "Royal families" π
Wacheza ndomboro ni wazembe, hawako serious na mambo yao.Mzee wa bugarama juzi kamchana aache ufala yule wa kule kwa wacheza ndombolo alisema akipita tu kwenye box la kura anamvaa ngoja tuone
Anko jiweAnko juve...[emoji1787][emoji1787]
Watu wafupi hamumuwezi mjomba ni mafia sana mshaingiziwa king mpaka mawazili wako ndani ya nyumba kulwaBlood thirsty tyrant...mwambie mjomba ako kuna namna haelewi waswahili....tutazama mpaka manta..amuulize mzee buyoya...mjomba ako hajai mkononi...
Command ya tabora itamtosha mjomba...wala hatuwaita vichaa wa monduli...bangi lori mbili...hatutawasumbua mabroo wa morogoro...wala kuwajulisha marafiki wa kigamboni..
Wale machalii wa msata hatuthubutu maana watamvua nguo kama yule raisi wa africa magharibi...mwambie mjomba muda umeisha
Kwani kuhusu Prof. Mwaikusa na Rev.Mtikila ni ya kwetu au ya Rwanda? Ni kwavile ya kwetu ndio maana tuna uhakika nayo!!Una ushahidi?. Mbona washukiwa wa Prof mwaikusa walikamatwa?. Halafu mtikila alifariki kwa ajali Tena akiwahi interview star tv. Tatizo mnajifanya kujua mambo ya Rwanda wakati ya kwenu humu ndani yanawashinda. Punguzeni unafiki
Anamsema Kagame ,ameua sana na hachoki lakini watafika mwisho wa kumvumilia na kupokea maagizo yake haramuNimesoma sijaelewa nimebaki kuhisia hisia tu,
Na ni kweliWatusi wanaamini wao ni bora
Bora kuliko wahutu......vijakazi duuuuh...Na ni kweli
Nahisi siku za mjomba kuishi zimefika mwisho,akifa yatatokea yale ya 1994Blood thirsty tyrant...mwambie mjomba ako kuna namna haelewi waswahili....tutazama mpaka manta..amuulize mzee buyoya...mjomba ako hajai mkononi...
Command ya tabora itamtosha mjomba...wala hatuwaita vichaa wa monduli...bangi lori mbili...hatutawasumbua mabroo wa morogoro...wala kuwajulisha marafiki wa kigamboni..
Wale machalii wa msata hatuthubutu maana watamvua nguo kama yule raisi wa africa magharibi...mwambie mjomba muda umeisha
DuuhNahisi siku za mjomba kuishi zimefika mwisho,akifa yatatokea yale ya 1994
ππππSisi wenyewe tunataka kua royal family π€£π€£π€£
KabisaAcha tu mwanangu,nawazaga mbali sana kwa mfumo wa kipumbavu aliouasisi,Rwanda is not safe after his death
Kutawaka moto kuleJw wanarudi kule