Hahahaha kama mjomba wa Zinduna anauliza mnapika saa ngapi? Wakati watu wanaenda kulala
Ndo hapo na mimi nitaishia kuuliza wakuu huku hakuna chakula cha usiku mbona njaa zinauma
Siwezi vumilia njaa usiku asee
Ntahesabu mno dakika na masaa
hivi Zinduna anazungumzia chakula gani hasa cha usiku? najaribu kufikiria kwa 3D
we huwajui watu wa bara wewe......
Kusema kweli ukanda wa pwani wanapenda kujibana sana hasa kwenye chakula!