Mjomba akauliza: Jamani Nyumba hii hapaliwi?

Mjomba akauliza: Jamani Nyumba hii hapaliwi?

Hahahahahaaaaa... Nimecheka vya kutosha kaka.
Zinduna ndo maisha ya bara huko mtoto asubuhi anaamka na kiporo cha ugali au mihogo na viazi saa moja kabla ya kwenda shule
Sasa mtu mzima kama mjombako kumpa chapati na viandazi vya watu wa pwani ni kama kumpigisha mswaki tuu
 
Seriously!!!!! Hahhahahahahaaaaa

Nimecheka sana comments zako aisee!!!!! Inaelekea unapenda sana menyu aiseee.
Mimi huwa nahakikisha asubuhi nimepata kitu cha maana, mchana nipate pia kitu cha maaana... then usiku sinaga mahesabu nao mara nyingi.. nipate tu light thing....

Japo nimekulia mazingira ya kula Ugali na wali wa kutosha kabla ya kulala, ila sioni mantiki yake wala kitaalamu haishauriwi kwa mida yetu hio kula hivyo kama unahama.

Urojo mtanifanya kesho yake nigeuze kurudi kwetu aise sitaweza
Nitaishia kuwaambia mnanilalisha njaa bure mkuu utafiti
Urojo anauweza Tized bana
 
mazoea yana tabu Zinduna hata mimi chai jioni mmmmmmh itabidi saa saba niamke kula tena lol

Mi nini saa saba nusu saa tu njaa acha tujilie tu mijiugali inatupa mijiguvu ya kuikabiri hii mishababi
 
Last edited by a moderator:
Zinduna ulitaka kumuua mjomba, wakati ukijua wanyamwezi wanakula..
 
Last edited by a moderator:
Seriously!!!!! Hahhahahahahaaaaa

Nimecheka sana comments zako aisee!!!!! Inaelekea unapenda sana menyu aiseee.
Mimi huwa nahakikisha asubuhi nimepata kitu cha maana, mchana nipate pia kitu cha maaana... then usiku sinaga mahesabu nao mara nyingi.. nipate tu light thing....

Japo nimekulia mazingira ya kula Ugali na wali wa kutosha kabla ya kulala, ila sioni mantiki yake wala kitaalamu haishauriwi kwa mida yetu hio kula hivyo kama unahama.

Mkuu Tized sio kama napenda sana menyu ila biashara ya kunilalisha na chapati za kumimina na chai au tumandazi na chai nitalala nahesabu boriti nisizoziona bure
At least ukipiga kitu safi asubuhi na mchana na jioni ukalainisha hata kwa vitu vidogo hapo sawa
Sio mchana hali mbaya na na jioni tena ulale na chapi za kumimini na tundazi
Hayo anaweza utafiti bana
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa... amen to that Bro.
Wakati mwingine njaa ni psychological...

Mkuu Tized sio kama napenda sana menyu ila biashara ya kunilalisha na chapati za kumimina na chai au tumandazi na chai nitalala nahesabu boriti nisizoziona bure
At least ukipiga kitu safi asubuhi na mchana na jioni ukalainisha hata kwa vitu vidogo hapo sawa
Sio mchana hali mbaya na na jioni tena ulale na chapi za kumimini na tundazi
Hayo anaweza utafiti bana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom