Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 247
MJINGAMJINGA wa WIKI.....Ana wapenzi wengi hatumii kinga, usiku anajidai kuljifunika
chandarua
chandarua
ukiwa na maana kwamba.......?
Mzima mkuu?
ninashaka na swali hili sijui kwanini?
hivi ni lugha gani hii??Badilisha title, iwe MBULULA wa wiki,
Alaaaaaaa kumbe!!!!
Habari yako
Nzuri swahiba . . . .mzima wewe?