Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

Hivi na yeye angetuma hao Vifaranga sijui 100 kwako wewe ambae hakujui, usingeweza na wewe kumtapeli??
Hapo unazungumzia probability wakati sisi tunazungumzia kile kilichotokea.Biashara nyingine malipo yanafanyika baada ya kupata mzigo wako, ukikagua ni sawa na oda yako basi unalipia na kuchukua mzigo wako. Kwa maelezo ya mtoa hii ndio aina ya malipo inayoyoonekana ilikubalika. Lakini kingine cha kuashiria utapeli ni kuwa alitoa tangazo kuwa anauza vifaranga huku akitaja mpaka umri tofauti tofauti wa vifaranga, zaidi akatoa gharama ya usafirishaji ila baada ya pesa hiyo kutumwa ghafla babu akaja kwenye picha, je vifaranga walikuwa wa nani? Kama walikuwa wa babu inamaana yeye alikuwa dalali! Kama ndivyo mbona asiweke wazi? Hata kama alikuwa anamsaidia babu inaonekana kulikuwa hakuna maelewano kati ya yeye na babu! Yeye anahitaji nauli tu wakati babu anataka vifaranga kumi walipiwe, kwamba ndio walikuwa wanaanza biashara kwamba hakuna modus operend? Na hii ya mara nipo Dodoma mara Songea kwani alikuwa kwenye timu ya kampeni?
 
Mkuu, asante mchango na ufafanuzi mujarab kabisa.....
 
HIVI BADO UNAAGIZA MZIGO KWA MTU USIEMJUA NA UNAMTUMIA PESA??HII DUNIA BADO SANA WATU KUPATA UELEWA
wewe ndo bado kupata uelewa kunusu online business mkuu. Sema kunavitu vidogo vili mix ndo maana kumetokea hicho kitu.
 
Ameweka matangazo kadhaa kwamba anauza kuku/vifaranga, kumbe ni tapeli na anatumia njia ya laghai kudanganya watu humu jf kisha anapotea na pesa.
Naomba wengine waliokua na nia ya kuhitaji bidhaa kutoka kwa huyu bwana wachukue tahadhari.View attachment 655506
Hicho ni kiasi cha pesa nilio mtumia kwaajili ya kusafirishia mzigo.
View attachment 655507View attachment 655509View attachment 655510View attachment 655511View attachment 655512View attachment 655513View attachment 655514
Hizo ni conversations zangu na tapeli huyo wa jf.
Uzwazwa wako mwenyewe.
 
duuh! watu wanachafu online business na kufanya hata wale wanafanya kwa uaminifu kujumuishwa kwenye kundi moja. La samaki mmoja akioza basi wote wameoza. Pole Mkuu na asante kwa taarifa
 
Mkuu, haiwezekani utuaminishe kwamba exposure ni kinga ya kuhalalisha wizi.
Hapa nimekuja kutoa tahadhari ili wengine wasiingie choo cha watoto kama mimi.
Just kumtumia nauli tu ndipo jamaa akamute, ukitazama huyu jamaa alianza kubadilisha maneno katikati ya maongezi ilhali tulisha kubaliana.
Kumbuka nilimuweka wazi kwamba siwezi lipa kabla sijauona mzigo
Swali zuri ni kwamba? Vifaranga vilisafirishwa?
Kama jibu ni hapana, naunga mkono kuwa jamaa ni tapeli.
 
Swali zuri ni kwamba? Vifaranga vilisafirishwa?
Kama jibu ni hapana, naunga mkono kuwa jamaa ni tapeli.
Vifaranga hawakutumwa, simu hapokei na kuna wakati alizima sim kabisa.
Pia kumbuka wakati tayari nilipo mtumia pesa ya nauli kama tulivyo kubaliana, hapo akabadili story kwamba mzee wake ameomba nimtumie hata pesa kidogo ya vifaranga 20.
Hapo ndipo nilipo anza kumchukia kwamba...... Kwanini ghafla mzee !ameingizwa kwenye makubaliano ambayo hapo awali hakutajwa!?.
 
Ohhhpppsssss.....
Hapo sawa nimepata amani
Naogopa tu ban ila binafsi nilishtushwa na ile picha maana jamaa anajipambanua wazi katika nyuzi zake kwamba hana girlfriend na mimi nikasema nitamfanya kibenten changu..hhahaha haya maisha hayana formula mara paaaaa..picha hiyo
 
Back
Top Bottom