Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,099
- Thread starter
- #141
Asante kwa ushauri wako mkuuPole kwa kutapeliwa ila siku nyingine usirudie kutuma fedha kwa mtu usiyemuamini (siyo usiyemjua kwa sababu hata unayemjua anaweza kukutapeli). Na umefnya vizuri kutoa tahadhari. Achana na hawa wanaogeuzia kibao nina uhakika ni hao hao matapeli/tapeli kwani matapeli wana ID hata kumi tofauti na kila moja ina kazi yake. Achana nao kabisa na wala usijieleze zaidi.
