Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

Naogopa tu ban ila binafsi nilishtushwa na ile picha maana jamaa anajipambanua wazi katika nyuzi zake kwamba hana girlfriend na mimi nikasema nitamfanya kibenten changu..hhahaha haya maisha hayana formula mara paaaaa..picha hiyo
Kuna sehem aliwahi kuandika kwamba, hajui kwanini wanaume wanapenda sana wadada.... mara pah... picha hiyo.....
 
Yani nyie mnapoteaga padogo kweli dah huenda mpo 100 mmepanga foleni.

Hapo ningekuja mimi yangekutoka machafu mpaka nikajihurumia hayeni tu.
 
Kuna sehem aliwahi kuandika kwamba, hajui kwanini wanaume wanapenda sana wadada.... mara pah... picha hiyo.....
Acha na kabisa huenda dem akijipendekeza anaambiwa unabahati sana full furaha dem kumbe wamepangwa foleni.

Na itakua anawala buree mana wanajistukia hata kuomba wakiamini hapa zipo ntazila tu
 
We jamaa ulitaka kuiba umeibiwa wewe. Safiii ulitegemea mzigo utoke Dodoma bila kulipiwa kiasi chochote unalipa nauli tu hujielewi wewe
Kuiba pia ni fani mkuu, ndiomaana nimekuja kujitangaza ili mniogope
 
Back
Top Bottom