Nimetokea kwenye post moja huko nikiwa ktk mizunguko yangu ya kila siku jf ..,Prezdaaa alisema, awamu hii hadi vivunjike...![]()
![]()
![]()
Atuachie miguu ya kutembea ata basi tumbo kabana la kushiba mikono nayo kabana basi tumiguu tuachwePrezdaaa alisema, awamu hii hadi vivunjike...![]()
![]()
![]()
Sasa unalialia nini kama so hasara?Mkuu....
Just 17 elfu, kwangu sio hasara
Kijana kwenye nyuzi zake anasema yeye sio mtu wa wanawake kabisa hahahha aiseee kama fx kabisaYaani vijana wabaya sana haki...![]()
Wanamdhalilisha kijana mubashara...
Kijana kwenye nyuzi zake anasema yeye sio mtu wa wanawake kabisa hahahha aiseee kama fx kabisaYaani vijana wabaya sana haki...![]()
Wanamdhalilisha kijana mubashara...
mkuu read between the lines.huyo jamaa sio kabisa ninamfatilia kitambo.trust me naogopa tu ban ila nilijua ipo siku tu watakuja kupigana humu ndani just like fxYani nyie mnapoteaga padogo kweli dah huenda mpo 100 mmepanga foleni.
Hapo ningekuja mimi yangekutoka machafu mpaka nikajihurumia hayeni tu.
mwanaume akisema sio mtu wa wanawake huo ni utapeli...HAYUPOOOOOOO hata kama vyuma vikaze vipKuna sehem aliwahi kuandika kwamba, hajui kwanini wanaume wanapenda sana wadada.... mara pah... picha hiyo.....![]()
![]()
![]()
Naomba umuulize mkulu grisii inapatikana wapi nije kulainisha vyumaaamwanaume akisema sio mtu wa wanawake huo ni utapeli...HAYUPOOOOOOO hata kama vyuma vikaze vip
Kafanye forex hahhaahahahaNaomba umuulize mkulu grisii inapatikana wapi nije kulainisha vyumaaa
yuani huyu unaemtetea anatumiwa nauli ya mzigo ili mzigo ukifika anayeleta alipwe halafu hataki .. kikubwa anaambiwa arudishe hiyo pesa ya nauli biashara basi hatakiWewe ndio tapeli
Sioni kosa la mshikaji hapo