Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,117
User name yake ni nani?Ameweka matangazo kadhaa kwamba anauza kuku/vifaranga, kumbe ni tapeli na anatumia njia ya laghai kudanganya watu humu jf kisha anapotea na pesa.
Naomba wengine waliokua na nia ya kuhitaji bidhaa kutoka kwa huyu bwana wachukue tahadhari.View attachment 655506
Hicho ni kiasi cha pesa nilio mtumia kwaajili ya kusafirishia mzigo.
View attachment 655507View attachment 655509View attachment 655510View attachment 655511View attachment 655512View attachment 655513View attachment 655514
Hizo ni conversations zangu na tapeli huyo wa jf.