Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
Nilimwita tapeli baada ya kua hapokei sim yangu na hata ilifikia time akaizima kabisa.
Anyway..... ebu mgoja nikubaliane na wewe
Sawa naamini umeipata point yangu hapo juu
Nilimwita tapeli baada ya kua hapokei sim yangu na hata ilifikia time akaizima kabisa.
Anyway..... ebu mgoja nikubaliane na wewe
Huenda alikua muoga hata hiyo nauli kutuma.Nimesoma mkuu kila kitu! Mi nimestik hapo kwanza...
Na mbaya zaidi wewe nimeona ndie ulieanza kumwita mwenzio tapeli... bila ya kupima kama jamaa nayeye ana imani kiasi gani kwako... ulikurupuka
Hivi na yeye angetuma hao Vifaranga sijui 100 kwako wewe ambae hakujui, usingeweza na wewe kumtapeli??Jamaa kweli kweli alitapeliwa, ulaghai umeanza baada ya kutumiwa za nauli akaja na sound eti babu anataka angalau za vifaranga 10.
Mkuu....Hivi na yeye angetuma hao Vifaranga sijui 100 kwako wewe ambae hakujui, usingeweza na wewe kumtapeli??
Hivi unatumaje nauli kwa mtu usiemjua?Watu wamemgeuzia jamaa kibao kuw yeye ndiyo tapeli Aisee. Pole sana ndugu dhamira yako itakushuhudia. Mimi naona nia yako labda ilikuwa kutadharisha wengine lakini mambo yamekuwa tofauti. Kiukweli uluchofanya ni hasa hata mimi ningefanya sasa nikutumie pesa ya mzigo na sijaiona wala hatujuani hii ni ngumu. Yaani ilitakiwa jamaa akifika na mzigo unamkash lakini naoana watu wamekugeukia while nia yako ilikuwa nzuri tuu kufanya biashara na member mwenzako. Bado siamini kama nia yako ilikuwa kutapeli kisha ulete hii habari humu.
Teh tehMwandiko wake tu unajua hamnazo
Ila siamini kama kweli mtu unaweza kufanya kitu serious humu na mtu usiemjua, wakati tunatumia majina fake na avatar fake
Wacha muingizwe mjini tu
Huenda alikua muoga hata hiyo nauli kutuma.
Kuana vitu hutakiwi kujihusisha kabisaa kama huna imani.
Yeye ndo mtakaji halafu anataka kuaminiwa dah.
Mimi Jiwedogo ndo na mlaumu si huyu.Nami ndo maana nimesema hvyo cku hz uungwana umepotea.Cjui huyu mwenzetu veep mbna wengine tunafanya biashara za mtandaon.sasa kuna ugumu gan wa mtu kumsafirishia mzgo huku pesa ya transport umesha pewa.
Cku zote uaminifu ni bora zaid ya hyo pesa mtu unayofikir kutapele,coz ukiwa mwaminifu unajiongezea wigo wa biashara yako.
Wewe ni mwema sana ndugu!Sikatai ujinga wangu mkuu...
Lakini natoa tahadhari kwa wajinga wenzangu humu jf
Kweli kabisa...Kazi ipo sijui kwanini kuna watu wana tabia ya kuharibu biashara za mitandaoni kiasi kwamba hata tunaofanya aina hizi za biashara tunaonekana waongo.Mkuu pole kwa yaliyokukuta siku ingine chukua tahadhari unapofanya biashara za mitandaoni ni vizur ujue kwanza ofisi ya muhusika ilipo ndo utume hela.
Pole sana, tushamjuwa huyo, maana sisi tumo huko huko kwenye ufugaji, ngoja tumtangaze aisumize wengine...![]()
![]()
Nimetoa tahadhari tu mkuu, kwani sioni ubaya kuwatahadharisha wengi kupitia mimi
Ni sa hihi.biashara za mtandaoni zina term kuu 3
1 tukutane sehemu tufanye hiyo biashara mkono kwa mkono
2. tuma ela nikutumie mzigo unafika mpaka mlangoni(hii inategemea source ikiwa ni mtandao ambao unabeba dhamana au kupitia kwa mtu mnafahamiana na kukiwa na halufu ya utapeli
kwa mfano KUPATANA wanakwambia kabisa NEVER PAY IN ADVANCE coz wao hawabebi dhamana ya pesa yako tofauti na mitandao mingne ambapo wanabeba dhamana ya pesa ikiwa mambo yatakwenda sivyo ndivyo )
3.mpaka mzigo niuone ndo natoa ela.
km mnakubaliiana hivyo ni yeye mwenye budhaa kuwa na chanzo cha uhakika sehemu anapotuma bidhaa inamaana ufike sehemu fulani utakuwepo mzigo uone ukiridhika toa ela
tushatuma sana vitu kwenye basi au malori unaongea na konda au dereva huyo mtu mpokeaji akiuona mzigo na akihakikisha upo sawa anakupa cash ndo unampa mzigo
so alichofanya jamaa hadi kuhisi katapeliwa ni sawa coz walikubaliana ilipwe nauri tu!
mzigo ukifika salama mkononi mwake inalipwa pesa yote ya thamani ya mzigo lkn dr ndele akaanza annoying zisizo na mashiko zilizomuogopesha jamaa mpk akaamua ghairi biashara
ilitakiwa tangu mwanzo wa biashara aweke condition kuwa unalipia nauri na asirimia 25 sio mtu ushatuma nauri na kukubalianaa then unaanza mambo mengne ambayo hayakukuapo katika PACT wakati mwanzo mnaanza biashara
ingawa si vema kumuita TAPERI ila dr ndele alikosea ilitakiwa amjibu chochote jamaa kuliko kukaa kimya sms ajibu simu hupokei
lazima uonekane ni mbabaishaji na tapeli
Inawezekana mkuuIzi mambo kwa kweli zinahitaji uwe na imani haijalishi ww ni mnunuzi au mnunuaji, pengine jamaa wa watu nae alihisi kwamba mwana bodi hapa anataka amtapeli kwa 17 ndio maana akaomba na yeye alipe ya kuku 20 au 10
Nimekusoma mkuu.Ruhsa kunilaumu mkuu, na ninapo kosea sioni ubaya kukubali kosa.
Kikubwa hapa nimeleta tahadhari ili nawengine wasikosee kama mimi