NutrientAgar
Member
- Jun 24, 2017
- 31
- 22
Jiwedogo, dr ndele na Matola nawaomba mnione tafadhali.
Sasa yeye katapeliwa unataka uzidi kumtapeli zaidi mkuu?Nipe Mimi 30k tu nikukamatie huyo mshamba aliyekutapeli kwa mbinu za 1982
hahahha kumbe sio kila kadi unachangia!Dah inaonekana hata michango ya harusi haikupiti?
Pole sana mkuu, kweli dunia imebadilika sanautapeli umezidi siku hizi, mimi kuna kijana kamtapel mdogo wangu milioni moja, mbaya zaidi binti mwenyewe alikuwa anamega hela ya biashara yangu kidgo kidogo. Na hasira nae...japo kakimbia mji nitampata tu.
Nilishatapeliwa laki tano humu,matapeli wamoooooo....chukueni tahadhari![]()
![]()
Nimetoa tahadhari tu mkuu, kwani sioni ubaya kuwatahadharisha wengi kupitia mimi
kwa hiyo kwa kumtumia hiyo elfu 17,000 ulitaka akutumie vifaranga 100?...hahahah wewe ndio ulitaka kumtapeliAsante kwa mchango wako mkuu, lakini mimi nimetoa tahadhari tu.
Na kama umesoma conversations vizuri, utaona muda nilio mtumia jamaa pesa na pia mwisho alikua hapokei simu kabisa
Duh, tena hawa wa jkt wanalazimisha mpaka kichefuchefu.Tunashukuru sana mkuu kwa taarifa hii,,hawa watu wapo wengi sana,,mdogo wangu 1 hv katapeliwa kwenye j.k.t ya juzi kati hapa laki 3 imekwenda hv hv,
Pablo njoo unikamatie mwizi huyu kanitapel aisee ingawa no mshikaji namfahamNipe Mimi 30k tu nikukamatie huyo mshamba aliyekutapeli kwa mbinu za 1982
Nani huyo hahaaaa!!!Pablo njoo unikamatie mwizi huyu kanitapel aisee ingawa no mshikaji namfaham
bila shaka na wewe ni mwizi mwenzio mwambie amrudishie hela yake sio kuandika maelezo meengi ya kitapeliKwani ni wapi nimekwambia naandika ili niaminiwe na wewe? mjinga sana wewe, watu makini hatuwezi kuruhusu watu mchafuwe networking pasipo na ushahidi wa kujitosheleza, usidhani kwa sababu natumia Id fake basi mimi ni ghost, najuwana na watu wengi tu humu na tunafanya mengi, ndio maana wapuuzi kama wewe tunawaelekeza, huna evidence ya kumuita mtu tapeli wakati hiyo text conversation wazi inaonesha wewe ndio tapeli uliyetaka kujipatia vifaranga 100 kwa shilling 17,000/= tu.
Teh teh tehNipe Mimi 30k tu nikukamatie huyo mshamba aliyekutapeli kwa mbinu za 1982