Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

yuani huyu unaemtetea anatumiwa nauli ya mzigo ili mzigo ukifika anayeleta alipwe halafu hataki .. kikubwa anaambiwa arudishe hiyo pesa ya nauli biashara basi hataki

wewe ni mjinga mkubwa na unaweza kuwa unashirikiana na huyu tapeli dr. Ndele
mkuu, huyo jamaa amenishangaza sana. Yani mtu analazimisha blue iwe pinki, na nyeusi iwe nyeupe
 
Kwani ni wapi nimekwambia naandika ili niaminiwe na wewe? mjinga sana wewe, watu makini hatuwezi kuruhusu watu mchafuwe networking pasipo na ushahidi wa kujitosheleza, usidhani kwa sababu natumia Id fake basi mimi ni ghost, najuwana na watu wengi tu humu na tunafanya mengi, ndio maana wapuuzi kama wewe tunawaelekeza, huna evidence ya kumuita mtu tapeli wakati hiyo text conversation wazi inaonesha wewe ndio tapeli uliyetaka kujipatia vifaranga 100 kwa shilling 17,000/= tu.

Wabongo akili hamna kabisa, mtu anakusaidia kuweka wazi kila kitu na bado yeye unamwita tapeli
 
Yote ninayachukulia kama changamoto mkuu.... Nami sijakataa kuzabuliwa hayo makofi mkuu
Mkuu vipi bata mzinga hupendi mimi nauza kwa bei poa nitafute katika namba +447456343882 ama +254713665345 ama +255713584567. Malipo kwanza halafu utanipatia anuani nikutumie mzigo. Achana na huyo jamaa. Fanya niasjara na msambazaji wa kimataifa. Utaisadia sana biashara yangu kupata grease ya kulainishia vyums
 
Ameweka matangazo kadhaa kwamba anauza kuku/vifaranga, kumbe ni tapeli na anatumia njia ya laghai kudanganya watu humu jf kisha anapotea na pesa.
Naomba wengine waliokua na nia ya kuhitaji bidhaa kutoka kwa huyu bwana wachukue tahadhari.View attachment 655506
Hicho ni kiasi cha pesa nilio mtumia kwaajili ya kusafirishia mzigo.
View attachment 655507View attachment 655509View attachment 655510View attachment 655511View attachment 655512View attachment 655513View attachment 655514
Hizo ni conversations zangu na tapeli huyo wa jf.
Weka namba yake hapa
 
Sijalia mkuu, hapa nimeleta tahadhari
Unajuwa wewe ni mjinga, wenzio hapa alikuja Le Mutuz na utapeli wa ajira za majuu na akataka atumiwe dolar 300 agency fee lakini tulimueleza wazi kama maisha yamemshinda Marekani basi arudi nyumbani na kweli amekubali ushauri amerudi sasa hivi ni mpambe wa Makonda.

Sasa usidhani hapa JF matapeli hatuwajui, tunawafahamu mpaka wale wanaotumia ID tano kuanzisha mada kwa ID nyingine na kujifanya ni mteja kwa kutumia ID zingine ili kuingiza king watu.

Tusichokipenda sisi wengine ni mambo ya kitoto kama unayoleta wewe, kwenye hili hata wewe ni suspect wa utapeli.


Sijalia mkuu, hapa nimeleta tahadhari
 
Back
Top Bottom