Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

Mtoa mada, we ndio umejichanganya. Jamaa amekuambia lipia japo kuku 10 tu awe na amani. we ukageuza kibao na kuanza kumuita tapeli.
Hapo ndipo ulipoharibu Biashara.
 
Ameweka matangazo kadhaa kwamba anauza kuku/vifaranga, kumbe ni tapeli na anatumia njia ya laghai kudanganya watu humu jf kisha anapotea na pesa.
Naomba wengine waliokua na nia ya kuhitaji bidhaa kutoka kwa huyu bwana wachukue tahadhari.View attachment 655506
Hicho ni kiasi cha pesa nilio mtumia kwaajili ya kusafirishia mzigo.
View attachment 655507View attachment 655509View attachment 655510View attachment 655511View attachment 655512View attachment 655513View attachment 655514
Hizo ni conversations zangu na tapeli huyo wa jf.
17k siyo ishu mshikaji wangu. Kuna vitu tunaweza kukosa kwa kutojaribu, iLa kwa ww hyo pesa its okey endelea kujaribu but kwa tahadhari. ILa usiweke mzigo mkubwa usije kuumia.
 
17k siyo ishu mshikaji wangu. Kuna vitu tunaweza kukosa kwa kutojaribu, iLa kwa ww hyo pesa its okey endelea kujaribu but kwa tahadhari. ILa usiweke mzigo mkubwa usije kuumia.
Asante kwa ushauri mkuu
 
upload_2017-12-21_11-38-10.png

Hivi kwani kuku wengine hawatagi???🙂🙂
 
Mtoa mada, we ndio umejichanganya. Jamaa amekuambia lipia japo kuku 10 tu awe na amani. we ukageuza kibao na kuanza kumuita tapeli.
Hapo ndipo ulipoharibu Biashara.
Mkuu, soma uelewe.
Jamaa alibadilisha maongezi kwenye makubaliano baada ya kumtumia nauli kama tulivyo kubaliana, ghafla akaja na issue ya mzee wake ameomba nilipie hata kidogo.
Ukiangalia pale mwanzo aliniambia yeye ndie mwenye mzigo na ukitazama utagundua kwamba alibadilisha makubaliano baada ya kuwa nimesha mtumia nauli.
Hapo kuna wakati ilifikia akaamua kutopokea hata sim yangu na msg hakua akijibu.
 
Ok. Nimekuelewa mkuu. Hao ndio binadamu.
Lakini kwasasa biashara ya mtandaoni haikwepeki. Kikubwa ni kuwa na taadhari tu.
Mchana mwema.
 
Back
Top Bottom