Nilivyosoma text conservation yenu nimegunduwa wewe ndio ulitaka kumtapeli mwenzako yani upewe vifaranga 100 kwa shilling 17,000/= tu.
acha kumchafuwa mwenzako hata tukienda mahakamani huu siyo ushahidi wa kuthibitisha umetapeliwa ni wewe ndio ulitaka kutapeli na pesa ya tapeli huwa haina refund.
kwa hiyo kwa kumtumia hiyo elfu 17,000 ulitaka akutumie vifaranga 100?...hahahah wewe ndio ulitaka kumtapeli
biashara za mtandaoni zina term kuu 3
1 tukutane sehemu tufanye hiyo biashara mkono kwa mkono
2. tuma ela nikutumie mzigo unafika mpaka mlangoni(hii inategemea source ikiwa ni mtandao ambao unabeba dhamana au kupitia kwa mtu mnafahamiana na kukiwa na halufu ya utapeli
kwa mfano KUPATANA wanakwambia kabisa NEVER PAY IN ADVANCE coz wao hawabebi dhamana ya pesa yako tofauti na mitandao mingne ambapo wanabeba dhamana ya pesa ikiwa mambo yatakwenda sivyo ndivyo )
3.mpaka mzigo niuone ndo natoa ela.
km mnakubaliiana hivyo ni yeye mwenye budhaa kuwa na chanzo cha uhakika sehemu anapotuma bidhaa inamaana ufike sehemu fulani utakuwepo mzigo uone ukiridhika toa ela
tushatuma sana vitu kwenye basi au malori unaongea na konda au dereva huyo mtu mpokeaji akiuona mzigo na akihakikisha upo sawa anakupa cash ndo unampa mzigo
so alichofanya jamaa hadi kuhisi katapeliwa ni sawa coz walikubaliana ilipwe nauri tu!
mzigo ukifika salama mkononi mwake inalipwa pesa yote ya thamani ya mzigo lkn dr ndele akaanza annoying zisizo na mashiko zilizomuogopesha jamaa mpk akaamua ghairi biashara
ilitakiwa tangu mwanzo wa biashara aweke condition kuwa unalipia nauri na asirimia 25 sio mtu ushatuma nauri na kukubalianaa then unaanza mambo mengne ambayo hayakukuapo katika PACT wakati mwanzo mnaanza biashara
ingawa si vema kumuita TAPERI ila dr ndele alikosea ilitakiwa amjibu chochote jamaa kuliko kukaa kimya sms ajibu simu hupokei
lazima uonekane ni mbabaishaji na tapeli