Mji wenye wa "Mambo ya Wakubwa" wataka kubadilishwa jina

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,604
Tangu mji wa Foco ulipoanzishwa karne ya 6, na baaadaye kulibadilisha badilisha hadi kubakia F*cking, sasa wakazi mji wa wakazi huo wameamua kubadilisha jina.

Hivi karibuni jina la mji huo limekuwa kivutio upande mmoja na matusi kwa upande wa pili, kiasi wakazi wake wahafidhina wanataka jina libadilishwe, wakati watu wa "mzaha" wanashikilia jina libaki.

Gonga F*cking, Austria Wants a Name Change kwa habari zaidi.
 
Nilishtuka sana, nilidhani unazungumzia JJUKWAA LA WAKUBWA.............Najua watu wangenuna humu!
 
hahahaha..... Vituko haviishi ulimwengu huu.. Afadhali tumefurahi sasa. lol
 
Waite Fukushima.
Au Fukufuku, japo Funikakombe

Nilishtuka sana, nilidhani unazungumzia JJUKWAA LA WAKUBWA.............Najua watu wangenuna humu!
Lile ni Jukwaa, sio mji.

Vipi mji wa kumamoto japani?
Hawa wao wameridhika.

hahahaha..... Vituko haviishi ulimwengu huu.. Afadhali tumefurahi sasa. lol
Pengine wako right, kwani fncking kwa wenzetu ni zaidi ya fncking, inaweza maanisha pia "kuwafanyia watu ukorofi"

Mi naona wauite mburasi au mbiko city
Hapa nimetoka kapa

wewe sasa....mmh...
Hivi unajua maana ya hayo maneno ya Gaspery lasway?
 
hahahaha..... Vituko haviishi ulimwengu huu.. Afadhali tumefurahi sasa. lol

Mkwe mambo ? Nilikua nataka nichangie hii mada, ghafla nakuona mkwe unavinjarivinjari mitaa hii, nimelazimika nilale mitaa ya mbele, huku sitii tena maguu! Naenda pande za politiki . Maana mada ya mtoa hoja mmh!
 
Back
Top Bottom