Mji mzito huu

Mji mzito huu

Hahah!anaitwa Mohammed Rashid Sizyaa...kwao kusini alibadili dini baada ya kufika mjini dyadyaa ndo maana ndoa yake na Lulu ilikua na mikingamo maana wazazi wake woote waislam baba ake kwa sasa marehemu mzee Sizya hua anaendaga san kwao amejenga nyumba nzuri sana nafikir kwa pale kijijini hana mpinzani...
Dada niache kwa Leo!!!
Jmn wewe mmmh
Mtu wa Mara mbona
 
Si bora mboondole hata mjini nlikua sijaja.
Enzi hizo nlikua bado mdogo asee kujua hayo mambo sio rahisi hizo zilikua story za wakubwa, huyo aliyemkamua hivo alikua nani huyo kigogo wa ATCL
Alikuwa na kesi mahakamani
Lkn faini aliyopigwa ilikuwa ndogo sana
 
Majizo nimekutana nae sana pande za Lindi na Range Rover yake! Ngoja nimuulize mshikaji wangu pale kwao kijijini panaitwaje! Juzi kati alikuja mother wake alikua anaumwa! Pale mnazi mmoja Lindi hua anasimama sana
Baasi ishia hapo hapo usiseme kijijini kwao!!!!no need in short unamjua kweli na usemayo sahihi kabisaa!!Kwao hufiki mnazi unaingia kulia ukitoka Lindi mjini...
Kaka naomba ustaje kijijini kwao please!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom