and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
Mji mzito
Una ushahidi wa haya au na wewe umesikiaCouple mpya: Chibu+aristoto
usinikumbushe, af tulikaa hapa tunamsubiri atuletee habari za msibani! Da niliumia msiba wa huyu mtu kama namjua!Katika harakati za uhai wake . Aliwahi kwenda kulala msibani ili tu aje na evidence 😁😁
RIP warumi.. kati ya watu niliokuwa nawafatilia sana ukimtukana kumsema vibaya awezi panic atakujibu kwa Hoja ...
Continue to rest in peace Warumi, jukwaaa uliondoka nalo aiseeeh . Halijaweza kurudi ulipolifikisha! Kiukweli, I nikikumis napitia tu thread zako kama hivi , nacheka ,nalia af naishia kukuombea. Pumzika rafiki yangu!Wanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi🤣🤣 , haya twende Sasa
Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo kwenye mahusiano yasiyofaa na mtangazaji wa kiume wa radio nyingine , ambapo mtangazaji huyo pia anamiliki duka la nguo.
Juzi kati maeneo ya bahari beach usiku kuliibuka na timbwili zito kati ya wawili wao, ambapo chanzo cha ugomvi huo ni wivu wa kimapenzi, Boss huyo anatarajia kuoa hivi karibuni, ambapo mtangazaji huyo anapinga vikali na hataki kusikia habar za ndoa Kwan anataka kuendelea ku enjoy penzi na pesa za kibosile huyo ambaye kimuonekano ni mfupi na mpole asiye na makuu.
Mashemeji fekero( mastaa Wa kubwa watatu wa kiume, mmoja msanii wa bongo fleva, Ana dread, mtangazaji wa radio , mwingine mwanasiasa) wa mahusiano hayo yasiyofaa walikua na shughuli nzito usiku huo kuwagombelezea wapenzi Hao , na kufanikisha kuwatuliza wawili Hao.
Mtangazaji huyo wa kiume anasifika sana kwa kusafir nchi mbali mbali duniani kwa pesa za mpenzi wake huyo wa siri ambaye inasemekana wapo wote mwaka wa tatu na nusu sasa, mmh mji mzito huu
Ila malkia wa mashauzi sijui atakua anamjua mke mwenzie mmh , mambo mengi mda mchache, Ila ata akijua atafanyaje? Chezeya nguvu ya pesa weye
Sasa hivi ntakua nawaletea ubuyu hot kwa code tu 🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
MmhHiyo mbona inajulikana toka kitambo kuwa huyo twanga anabinyonziwa na m@jy pamoja johm@k
Ohoooo kunaanza kuchangamkaCouple mpya: Chibu+aristoto
Mmmmh tajiri kafanyaje tenaBilionea wa Babati
Bajaj na bodaboda wanajipigia tu mpaka wife katoka ndukiMmmmh tajiri kafanyaje tena
Hivi kuna siri gani mbona hawa mashoga wanakuwa na hela sanaBajaj na bodaboda wanajipigia tu mpaka wife katoka nduki
Hayo ndo masharti ya kupakazwa kinyes chako mwenyeweHivi kuna siri gani mbona hawa mashoga wanakuwa na hela sana
Bilionea wa Babati
DangerousBilionea wa Babati