Mji mzito huu

Mji mzito huu

nliwaah kumuona pale city mall nje, yaan hakua na aman kbsa sjui alikua anamsubir nan, aliegemea gari huku ana chat chat,
Huwa muoga ana mhaho hatari ka anaumwa na siafu macho juu juu
 
Kitu ninachojiuliza huwa wanakazimishwa kwa kutishiwa kufutwa Kazi au inakuwa je?

Kuna jamaa moja ana mke mzuri na watoto lakini tayari watu washafumua vitu huko UN
Nadhani vile huko Kuna watu waliotoka hizo nchi huwahadaa na some work favors, since hao watu Wana mi connection mkubwa kwenye taasisi kubwa
 
Jamaa wake ana mridhisha ndio maana
Sasa huyo rappa anaemkamua mwanasiasa, nadhan hata politie mwenyew huwa anang'ata mto, maan alivyo tyuuh kwa muonekano wake show zake n konkiiii.
 
Nadhani vile huko Kuna watu waliotoka hizo nchi huwahadaa na some work favors, since hao watu Wana mi connection mkubwa kwenye taasisi kubwa
Huyo jamaa nakuambia hakosi kwenye mikutano ya kimataifa kila nchi yupo. Labda hiyo connection ndio ilimfikisha huko?
 
Back
Top Bottom