if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,381
- 1,873
Mi nazani ni malezi yanachangia, hasa ukikuta mtoto wa kiume anakaa na watoto wa kike wengi kuna hatari ya kuanza kuvaa chupi za kike na yeye,Jamani inakuwaje hivi duh wakaka wazuri tu shida ni tamaa au nini
Au ukijikuta katika mazingira ya kushawishika, ukatoa tgo hiyo basi ndo umefunguria bwawa, hiyo dhambi haikuachi, ni sawa na msichana akitolewa bikra tayari kiburi kinaanza na kuona kila mtu yupo sawa nae.