Mjane wa Erasto Msuya apandishwa Kizimbani Kisutu

Sheria za mirathi Tanzania zinaruhusu vipi mdogo wa marehemu kufreeze mali wakati mke yupo?
Hapo unaongea mambo 2 tofauti...kuna sheria na offiside kumbuka.......huyu marehemu kumbuka alikua anafanya bank na bado mirathi ilikua bado haijakamilika manake mirathi inakamilika namna gani wakati kesi iko mahakamani??
 
Sijui kwa nini nahisi kuna watu wanaweza kubambikiwa kesi hapo!

Weledi wa detectives wetu ni mdogo sana aisee.
Hii kesi inaonekana hamuijui vizuri! hao waliomchinja ndio wakwanza kukamatwa, akafuatia dada yule house girl na ndio wao wamemtaja wifi! kama wanamsingizia au la mambo ya mahakama ila inaconnections na kesi ya kwanza. motives ni kuficha ushahidi wa kesi ya kwanza so kama watapatikana na hatia huku.... kupona kule si rahisi
 
Sijui kwa nini nahisi kuna watu wanaweza kubambikiwa kesi hapo!

Weledi wa detectives wetu ni mdogo sana aisee.
Detectives wa nchi gani ndo wana uelewa mkubwa?. Yule house girl anaweza kuwa amemtaja Mrs Msuya. Unaonekana unadharau kila kinachofanyika katika nchi yako. Hata hivyo umepimaje uelewa wa wapelelezi wetu na kwa vigezo gani?
 
Kibongo bongo kutajwa tu inaweza kutosha kabisa.

Si umesikia kuna habari zinasema kuwa eti yule mdada wa kazi ndo alimtaja...

Sasa hapa najiuliza...huyo wifi atakuwa ju.ha kiasi gani kumhusisha mdada wa kazi kwenye mpango wa kutoa uhai wa wifi yake?

Pia, huyo mdada wa kazi anasema ukweli kiasi gani? Manake isije ikawa naye anadanganya ili asiendelee kupata joto ya jiwe.

Anyway, nadhani wengi wetu hatuujui ushahidi walionao polisi...hivyo labda wana zaidi ya tunavyojua sisi.
Ndo watapeleleza kujua kama anasema uongo au la ila matendo ya House girl kabla ya kifo cha yule Dada yalitia shaka
 
Kibongo bongo kutajwa tu inaweza kutosha kabisa.

Si umesikia kuna habari zinasema kuwa eti yule mdada wa kazi ndo alimtaja...

Sasa hapa najiuliza...huyo wifi atakuwa ju.ha kiasi gani kumhusisha mdada wa kazi kwenye mpango wa kutoa uhai wa wifi yake?

Pia, huyo mdada wa kazi anasema ukweli kiasi gani? Manake isije ikawa naye anadanganya ili asiendelee kupata joto ya jiwe.

Anyway, nadhani wengi wetu hatuujui ushahidi walionao polisi...hivyo labda wana zaidi ya tunavyojua sisi.
Kaka huyo dada hayupo very smart! probably ni kwasababu ya elimu yake... kwsb sio tukio la kwanza! zipo threads humu zinamuelezea we zicheck utapata scoop ya kichwani kwake.
 
Hii kesi inaonekana hamuijui vizuri! hao waliomchinja ndio wakwanza kukamatwa, akafuatia dada yule house girl na ndio wao wamemtaja wifi! kama wanamsingizia au la mambo ya mahakama ila inaconnections na kesi ya kwanza. motives ni kuficha ushahidi wa kesi ya kwanza so watapatikana na hatia huku.... kupona kule si rahisi


Mmmmh sasa huyu wanamuangushia jumba bovu Kama hii case wanadai ina connection Na Ile ya Erasto wakati waauaji wa Erasto walishakamatwa Na ni kweli waliua I smell something fishy here ngoja tuone
 
Mnatafuta pesa vzr na wife ili muwe na maisha bora kumbe ndiyo unajichomea mkaa, wife anakudedisha abaki na mali atanue anavyotaka huku nyuma. Na ndg za marehemu wakijaribu kufuatililia inawaondoa. Mwanamke hata cku moja wakucheka nae.
siku zote mirathi bila upendo ni damu tupu
 
Strawberry tulivyokuwa wadogo kuna mkoa nje ya Dar yapo
tulikuwa tunachuma zikiitwa 'fursadi' au 'mafursadi'

Sasa Azam wanayo soda ya Strawberry wanaiita 'fursana'

Unaweza ona jinsi lugha inavyo develop

unakumbuka 'changudoa' ni samaki lakini
na zamani 'changudoa' ilikuwa ni 'chokoraa'

Now imeshabeba maana ya wasichana wanaojiuza barabarani
Mkuu fursana ni zabibu mimi ndo kinywaji changu
 
Habari ninayokupa ni ya uhakika. Naifahamu familia kwa karibu. Na mkasa wote wa mauaji. Huyo marehemu Anathe kaka yake marehemu Erasto alimuandika jina lake katika mali zake nyingi. Kwahiyo nadhani akawa anamnyima usingizi wifi.
Nadhani hii inaweza kuwa conclusion ya kijiweni. Sasa kama alikuwa ameandika jina lake kwenye mali hata kama angeuawa isingebadilisha kitu. Tuombe tu upelelezi wa hii kesi usiwe unaongozwa na fedha bali haki.
 
Back
Top Bottom