Mjane wa Erasto Msuya apandishwa Kizimbani Kisutu

Chanzo tafadhali...

Na waliomchinja huyo dada je?

Au huyo mjane ndo alifanya yeye huo uchinjaji?
Huyo mjane ndio aliyekodi watu wakamchinje wifi yake (dada wa marehemu). Akishirikiana na Jamaa ambaye ndio ana mahusiano naye (baada ya mume wake kufariki). Na kuna ushahidi wa uhakika kwamba ndiye aliwatuma hao chinja chinja. House girl alikuwa anajua hiyo issue.
 
Kibongo bongo kutajwa tu inaweza kutosha kabisa.

Si umesikia kuna habari zinasema kuwa eti yule mdada wa kazi ndo alimtaja...

Sasa hapa najiuliza...huyo wifi atakuwa ju.ha kiasi gani kumhusisha mdada wa kazi kwenye mpango wa kutoa uhai wa wifi yake?

Pia, huyo mdada wa kazi anasema ukweli kiasi gani? Manake isije ikawa naye anadanganya ili asiendelee kupata joto ya jiwe.

Anyway, nadhani wengi wetu hatuujui ushahidi walionao polisi...hivyo labda wana zaidi ya tunavyojua sisi.
Hahaha eti,ushakuwa shilawadu
 
Huyo mjane ndio aliyekodi watu wakamchinje wifi yake (dada wa marehemu). Akishirikiana na Jamaa ambaye ndio ana mahusiano naye (baada ya mume wake kufariki). Na kuna ushahidi wa uhakika kwamba ndiye aliwatuma hao chinja chinja. House girl alikuwa anajua hiyo issue.
Hmm!

Yaani kirahisi rahisi hivyo?

Hata hivyo, labda.....
 
Kuna chezo linaendelea hapo na haliko sawa
Ni kweli mkuu huyu mama ni kama mafia...kwanza kabla ya kukutana na erasto alikua ameolewa akamwambia jamaa wewe huna coin bwana niache ndio akaja oana na erasto..kabla ya erasto kufa like 4 months walikua kwenye mgogoro mzito wa kutengana, baada ya erasto kuuwawa,,, marehemu wifi yake ali freeze accounts zoote za kaka yake mpaka kesi iishe na mirathi ifikiwe kitu ambacho naskia mjane hajakifurahia kabisa, ila kumbuka baba wa marehemu nae yuko mererani na mtoto wake wa kiume nao ni wa mjini tuu...nakubaliana na wewe kwamba kuna chezo hapo
 
Nashukuru Kuna siku nilisema alinishikia bastola Kuna watu wajabwabwaja saaana huyo mwanamke mmmmh nilijua siku yake itafika kanyege debe masikini wa roho Na akili
Wale anti zake wa jf mkujeee.... Serikali im uweze panapostahili
 
Jamaa aiekua anamkula namjua..nae kasombwa juzi kuamkia jana woote wako ndani ya nondo woote
 
Jamaa aiekua anamkula namjua..nae kasombwa juzi kuamkia jana woote wako ndani ya nondo woote
Hahaa mama sai
Na majivuno yake... Yule jamaa wa mwanzo naona alimlaani akajiingiza kwa kichaa wangu erasto papuche anazipandia dau... Chaaaa +pesa+uhuni naona mama saimon alichoka
 
Sijui kwa nini nahisi kuna watu wanaweza kubambikiwa kesi hapo!

Weledi wa detectives wetu ni mdogo sana aisee.
Wanasheria wake wamejipangaa Mpwa subiri aibu juuya aibu zinakuja NA zile maliwalizochukua watazirudisha NA ulimi
 
Back
Top Bottom