Mjane wa Erasto Msuya apandishwa Kizimbani Kisutu

Hawa wanaoleta thread za matufaa na mafurusadi humu nahisi watakuwa ni mashoga wa siku nyingi,waliodumu kwenye ushoga.


Hahahha true mkuu., wanatafuta bwana kinguvu kwa kujichekesha Na matufaa huku jamii forum
 
Maana kama ni kumchinja huyu mama hakuhusika.... Alikuwa Arusha huko. Sasa kama wamemfungulia kosa la kuua. Watashindwa kuthibitisha pasipo na shaka. Kama walivyoshindwa kwa Zombe


Lakini atakua ameshateseka sana magereza Na hao wakwe nia Yao ni Mali watakua wameshafanikisha dhumuni Lao la kujipatia Mali Za marehemu
 
Niliweka hapa wengi walinishangaa

nnazo thread nilitaja condom kwa kiswahili inaitwa 'kifudusi'
apple linaitwa 'shufaa'
Condom nilidhan inaitwa mpira wa kijinsia au zuia virusi
Kumbe n kifudusi safi sanaa

Shop kwa mama mchungaji hili neno kifudusi kutamka n simple kuliko condom tym nanunua dhana...wataelewa tuu
 
Kibongo bongo kutajwa tu inaweza kutosha kabisa.

Si umesikia kuna habari zinasema kuwa eti yule mdada wa kazi ndo alimtaja...

Sasa hapa najiuliza...huyo wifi atakuwa ju.ha kiasi gani kumhusisha mdada wa kazi kwenye mpango wa kutoa uhai wa wifi yake?

Pia, huyo mdada wa kazi anasema ukweli kiasi gani? Manake isije ikawa naye anadanganya ili asiendelee kupata joto ya jiwe.

Anyway, nadhani wengi wetu hatuujui ushahidi walionao polisi...hivyo labda wana zaidi ya tunavyojua sisi.

In every crime scene there is evidence" chukua hii kutoka criminal investigation. Ni pamoja Na hiyo yakutajwa Na house girl.
 
View attachment 386827

Miriam Stephen Mrita (41), ambaye alikuwa mke wa marehemu Bilionea Msuya, amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na shtaka la mauaji ya dada wa bilionea Erasto Msuya, Aneth Msuya.
View attachment 386832
Wakili wa Serikali, Diana Lukondo alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Margareth Bankika kuwa Mei 25, 2016 katika eneo la Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam, mshtakiwa huyo alimuua Aneth.

Baada ya kusomewa shtaka hilo, Miriam hakuruhusiwa kujibu chochote kwa sababu mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi za mauaji.

Upande wa mashtaka ulidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika na iliahirishwa hadi Septemba 6.

Mshitakiwa alirudishwa rumande kwakuwa kesi hiyo haina dhamana.Aneth, ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya, aliuawa kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana Mei 25, 2016 nyumbani kwake Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi

Maswali:
1. Huyu Miriam Stephen Mrita ni nani?
2. Huyu mama ndiye aliyeshika kisu na kumchinja mtu kweli?
3. Hii haitakuwa kama ile kesi ya Zombe?
4. Nadhani wapelelezi wabadilishe shtaka.
Mkuu we umeona km nilivyoona mm,shtaka haliko sawa hilo,ni sawa na kesi ya zombe
 
We nae Heeee unajikera mwenyewe tu kwani si uruke habari za matunda usome zinazokuhusu mbona unajipa shida?
Evelyn Salt..Busara hupimwa hata kwa maandishi yakoo...kwa hiyo kwa akili yako ndogo unaona Ni sawa kuingizia ujinga wa Matunda kwenye Uzi kama huu. Au una lako jambo Na akina NN Na T B
 
Evelyn Salt..Busara hupimwa hata kwa maandishi yakoo...kwa hiyo kwa akili yako ndogo unaona Ni sawa kuingizia ujinga wa Matunda kwenye Uzi kama huu. Au una lako jambo Na akina NN Na T B
Vidole vyako tu havifanani sasa utalazimisha watu tufanane? Endelea kujipa kazi
Nkiambiwa kupiga kura kwa mtu mwenye busara jf I ll vote for the boss....
Kwaheri endelea kuboreka salama
 
Maana kama ni kumchinja huyu mama hakuhusika.... Alikuwa Arusha huko. Sasa kama wamemfungulia kosa la kuua. Watashindwa kuthibitisha pasipo na shaka. Kama walivyoshindwa kwa Zombe
Sio lazima ashike kisu amchinje ndio awe kwenye kesi ya kuua, kuna hizi nadharia; conspiracy, motive behind and being an accessory to murder (wanasheria mzielezee kwa mapana yake) zinaweza kuwa sehemu ya kushiriki kwenye tukio.

Kaka ...
 
Wanawake wengine wamekuwa makatili sana sababu ya mali za kupita wapo ambao uuwa wanaume zao wapate mali
 
Kwa jinsi navyo wajua watu wa hiyo mikoa ya arusha na moshi..wengi wao sio wote wengi wao wamejaa dhuluma...hata akiwa na mali utakuta anadhulum hata kitu kidogo tu na mifano hai ipo .huyu dada kama alishiriki mauaji hayo sasa laana inamtafuna na itamuumiza sana watoto kaacha hawana baba wala mama..mjifunze wale mnaopenda dhuluma sio nzuri
 
Ndio hivyo wanavyofanya. Na wmefanya hivyo kwasababu ya ujanja wa kibongo bongo kuzidi. Walipokuwa wana-calculate kwa kutumia bei ya manunuzi watu wakajiona ni wajanja, hivyo mtu akinunua gari kwa mfano dola 4000 anaongea na muuzaji anamwambia aandike 600 ili ushuru upungue. Hivyo ikabidi sasa watumie bei ya lile gari na model linapokuwa jipya halafu wanafanya depreciation kulingana na miaka gari lilivyotumika na kupata common price kwa magari yote yanayofanana. Huyo jamaa mwanzisha thread alikuwa bado anadhani zinatumika kanuni za zamani.
Km ni hivo sidhani wanafanya sahihi sababu huwezi kuwaumiza wengi kwa michezo ya wachache hoja bado kodi ya magari tza ni kubwa sana mara mbili ya kununulia gari, waangalie nchi zingine wanafanya vip kodi inatakiwa iwe rafiki

Wakati mwengine unaweza kushangaa sana hasa ktk matukio maovu kama haya..kinachoshangaza ni hapo wauaji walipokuwa wanampa h/girl reported kama ndiye kawatuma kazi,pia walishindwa kabisa kufahamu kwamba h/girl atakapokosa kuonekana ghafla halafu boss wake anapata matatizo suspect wakwanza angekuwa yeye.mwisho kabisa walishindwa kutambua kwamba mtu..kwanza mwanamke ni dhaifu akitishwa kidogo anamwaga mboga,pia kama hakuwahi kushiriki jambo kama hili anapata kuweweseka so ilichangia sana kuwajua wauaji..ni kusema kwamba Mungu alitaka kuyafichua maovu ya mtu mmoja ndo maana wote walipanga mission kwa kujiamini ila wakasahau kosa dogo mno lililowakamatisha.
 
Unajua mualifi hawezi chora michezo yote zaid ya kujidanganya kiakili yake na kujiona u sahihi
 
Back
Top Bottom