Mjane wa Erasto Msuya apandishwa Kizimbani Kisutu

Nadhani wameona kumshikilia huyo dada for that long bila kumpandisha mahakamani wataharibu kesi.
Waliomchinja yule dada hawajakamatwa sasa sijui watamshtaki na ushahidi gani mpaka awe convicted
 
Apple ni tufaha.

Shufaa maana yake ni [1] msamaha apatao mtu baada ya kutenda kosa na kuomba asamehewe [2] ni nafuu, afueni kama apatayo mgonjwa anapoanza kupona maradhi yake.

Yap ni tufaa..nime mix kidogo na shufaa

Unajua strawberry kwa kiswahili?
 
Nadhani wameona kumshikilia huyo dada for that long bila kumpandisha mahakamani wataharibu kesi.
Waliomchinja yule dada hawajakamatwa sasa sijui watamshtaki na ushahidi gani mpaka awe convicted

Kibongo bongo kutajwa tu inaweza kutosha kabisa.

Si umesikia kuna habari zinasema kuwa eti yule mdada wa kazi ndo alimtaja...

Sasa hapa najiuliza...huyo wifi atakuwa ju.ha kiasi gani kumhusisha mdada wa kazi kwenye mpango wa kutoa uhai wa wifi yake?

Pia, huyo mdada wa kazi anasema ukweli kiasi gani? Manake isije ikawa naye anadanganya ili asiendelee kupata joto ya jiwe.

Anyway, nadhani wengi wetu hatuujui ushahidi walionao polisi...hivyo labda wana zaidi ya tunavyojua sisi.
 
Strawberry sijui kwa kweli.

Labda ni 'stroberi'...:D

Manake police ni polisi...sentence ni sentensi...radio ni redio....

Strawberry tulivyokuwa wadogo kuna mkoa nje ya Dar yapo
tulikuwa tunachuma zikiitwa 'fursadi' au 'mafursadi'

Sasa Azam wanayo soda ya Strawberry wanaiita 'fursana'

Unaweza ona jinsi lugha inavyo develop

unakumbuka 'changudoa' ni samaki lakini
na zamani 'changudoa' ilikuwa ni 'chokoraa'

Now imeshabeba maana ya wasichana wanaojiuza barabarani
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Hiyo Fursana ya Azam nishainywa na haina ladha ya strawberry.

Ina ladha kama ya Vimto...zabibu zabibu hivi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom