Mjane wa Daudi Mwangosi akanusha vikali habari za Dr Slaa kutelekeza ahadi yake kwa familia hiyo

Hivi P. Msigwa = W. Slaa?
Mbona anajipendekeza kukanusha issue isiyomuhusu au yeye Msigwa ndo aliyetoa ahadi?

Twende sawa mkuu,
Aliyekanusha siyo Mh Peter Msigwa, ni mjane wa Daudi Mwangosi. Mch Msigwa alichofanya ni kuiweka ktk facebook wall yake. Na mimi nilichofanya ni copy na kupaste hapa ili JF nao waijadili sawia.
 
mbona 2tayasikia mengi mwaka huu,magamba wanataka kuligeuza hili swala mtaji wa kisiasa
 
Mjane wa Mwangosi alilia rambirambi za Slaa



Juzi, mjane wa mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel Ten, Daudi Mwangosi, Aneti, alijikuta akiomba wanahabari wasaidie kufuatilia rambirambi iliyoahidiwa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kutokana na kiongozi huyo, kukata mawasiliano baada ya msiba.

“Nina mawasiliano na Profesa Mark Mwandosya ambaye pia aliahidi kumsomesha mtoto mmoja, yeye aliniambia nitakapokuwa tayari nimjulishe ili atume fedha kwenye akaunti ya shule, lakini sina mawasiliano na Dk Slaa,” alisema Aneti

.

Mke wa mwangosi hakuwa akiitwa aneti, hili gazeti limezidi kwa habari za kichochezi
 
pole mama, ni mambo ya kawaida sana kwenye hii nchi ya watu wasiojali utu wa mtu. pole sana mamaangu.
 
Nauliza swali! Ukiwekewa mbele ya macho yako kati ya magazeti haya - Habari Leo na magazeti ya Erick Shigongo utaanza kusoma gazeti lipi??
 
Waandishi wa habari wa gazeti la Habari Leo ni aina ya akina Rweyemamu wa mawasiliano ikulu.......zi mazuzu na wachumia matumbo..yani wanaishi na kufanya kazi zao kwa ajili ya kwenda .....
 
habari leo na TBC ni majanga ya kitaifa hawana tofauti na yale magazeti ya rwanda ya nwaka 1994 , ni upuuzi wenye kupuuzwa na hata mtoto wa darasa la kwanza, hii yote ni kutokana na mhariri aliyepo TSN kutokuwa na elimu ya kutosha kuwa na cheo hicho na badala yake amebaki kujikomba kwa wakubwa, wewe MKUMBWA ALLY jiandae kwenda the HAGUE.
 
Magamba at work! Kiwanda cha uongo/ uzushi cha ccm, gazeti la habari leo. CCM HOYEE!
 
Sasa huyu Mhariri Mtendaji uchwara Joseph Kulangwa abishe tena kwa nini gazeti ili Dr Slaa hasilichukie kama Gazeti linakuwa gazeti la udaku hali likijua ni gazeti dada la Daily News, gazeti la taifa linaendeshwa kwa kodi ya wananchi?
 
Nasubiri coment za ritz maana alikuwa na furaha sana kwenye ule uzi
 
Tunahitaji kufanya kitu, tunahitaji kujua Ukweli na kulifikisha mahakani hili gazeti kwa kuandika uongo, bila hivi hawatajifunza kamwe!

Utalipeleka gazeti mahakama gani ndugu yangu ili upate haki? labda uholanzi
 
NILIKUWA SIJUI
kumbe CHADEMA ni chama cha babamkwe wake mbowe
ambae ni mzee MTEI...........DAAAH SIJUI TUNAKWENDA WAPI kama mtu na babamkwe wake wanamiliki chama,hahhahahahahahaaha CHEZEA MCHAGA WEWE
 
Back
Top Bottom