tanira1
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 942
- 159
we yoyo bwana umenizingua sana na artiva yako nilidhani mende kaingia katika monitor yangu nilichukua muda kutressbwahahahaha aiseee matola kaua aisee....katiririsha maahadi ya kikwete kudadadadeki aisee.....ahadi kama kilo elfu nane sabini na tisa elfu tano na themanini bwahahahaha .....aisee jk kweli kawafanyia watz utapeli......