Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,356
Atatuambia sekta ya Afya imeboreshwa na hali hii ndiyo iliyopo katika Hospitali Kuu Ya Taifa ya Muhimbili. Na mjiulize kama Muhimbili iko hivi, Hizo za mkoa na za wilaya hali ikoje?lets be realistic bana leo hii ukimwambia zomba kikwete kaendeleza nchi kielimu atakubali lakini twenda field tuone hali halisi majengo ya madarasa mawili yanatosha kuitwa shule na wanafunzi wakawekwa tena bila mwalimu halafu unasema umeboresha elimu?
nijuavyo mimi data hizi kwanza huwa wanazipika tu ili kusatisfy wale wanaowapa mikopo lakini ukirudi ndani ni uozo mtupu. look what they are doing now wameshanyimwa funds kutoka wanakotegemea walichokiona ni kuwanyima watu kutoa hela zao hao wafikie miaka 53 ili wapate hela za kuendeshea serikali.
angalia mashamba waliyo mmilikisha dewj ya mkonge yamebaki kama asset ya dewj kupatia mkopo la hayana tija kwa taifa halafu tuseme kuwa tumeendelea??????