Mjadala: Side Comments: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

Mjadala: Side Comments: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

kwa argument hizi sasa tunaconclude nini Roulette manake wengine hapa tunaiba muda wa mkoloni na tungeomba kabisa mtupa specific time kama vile mseme saa 2 kamili usiku etc. poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa hili.

Mjadala unaendelea saa mbili jioni, baada ya ftari. Matola, Zomba na Mwali have proposed it as the most convenient time for them.
 
Mjadala unaendelea saa mbili jioni, baada ya ftari. Matola, Zomba na Mwali have proposed it as the most convenient time for them.

Roulette wengine tutakoseshwa uhondo bana maana kwenye simu kuufuatilia ni ngumu sana
Ila ni muda mzuri kwa mjadala kuendelea
 
Last edited by a moderator:
Mjadala unaendelea saa mbili jioni, baada ya ftari. Matola, Zomba na Mwali have proposed it as the most convenient time for them.

Ok. Tutakuwepo. Nadhani mtatuambia nani mshindi. Na kwa vipi.
 
Mjadala unaendelea saa mbili jioni, baada ya ftari. Matola, Zomba na Mwali have proposed it as the most convenient time for them.

asnte sana Roulette manake na sisi wengine tutakuwa tumeshafika nyumbani mida hiyo. let them get prepared. pia hivi maboresho ambayo tunaona yanahitajika kwenye mjadala kama huu tunayaweka wapi? Yaani yale ambayo we think can shape the coming debates.
 
Last edited by a moderator:
azima hata laptop ya mshkaji bana lol! manake jana tulienda vizuri sasa usije ukakosekana kaka siku ya leo.
gfsonwin hapa naenda kuazima laptop ya mtu nisije nikaukosa aise maana ni muhimu sana
Asante dear kwa kunikumbusha
 
Last edited by a moderator:
thats so sweet ma true brother Mr Rocky. umemsikia Kongosho yeye kapewa ila mouse anachukua mwenyewe so anakwenda kuazima mouse kwingine

gfsonwin hii kali hii
Imekuwa kama serikali yetu inakupa mkopo kama mjasiriamali mdogo halafu ukiweka kigenge sehem wanakuvnjia eti hilo sio eneo la biashara
Ukiwaambia nionyesheni eneo husika wanang'aa tu macho
pole Kongosho endelea kutafuta mouse
 
Last edited by a moderator:
hii debate sikutegemea kama itakuwa poor kiasi hiki....
 
gfsonwin hii kali hii
Imekuwa kama serikali yetu inakupa mkopo kama mjasiriamali mdogo halafu ukiweka kigenge sehem wanakuvnjia eti hilo sio eneo la biashara
Ukiwaambia nionyesheni eneo husika wanang'aa tu macho
pole Kongosho endelea kutafuta mouse

hahahaha................ila iyo ni cha mtoto ona hii unapewa mkopo gharama za kuzalishia ule mkopo ni kubwa kuliko hela yenyewe manake leo unakopa kwa thamani ndogo ya hela kesho unapata thamani ikiwa imepanda matokeo yake ni nini? wanakufilisi vikoshi na kiji tv chako jamani tanzania.........siiwez aisee
 
Hawa waliopewa kuwa wakuu wa mijadala naona wameshindwa kukidhi kiu ya watu wengi hapa. Maelezo yao mengine yamekuwa ya kucopy na kupaste ambayo watu hawakutarajia. Walitarajia waone mtu anatoa data zake mwenyewe anatoa kile ambacho hata ukimface moja kwa moja anaweza kukisema moyoni mwake kuwa ni kweli.

Sio dhana ya kusifia tuu kuwa huyu amefanya hivi na hivi na ni bora bila kutoa vigezo vya ubora. Hatuoni maelezo ya kutosheleza zaidi ya data za kweney karatasi ambazo hata kama mtu sio mchumi anawez akuzitengeneza ili kuombea msaada Imekuwa kama hizi NGO's nyingi zina matarakimu mengi ila ukimuuliza muhusika zina maana gani hata yeye hajui.

Tunataka uhalisia wa kukua kwa uchumi mtu wa pale meatu au sumbawanga ukimuuliza unauonaje uchumi aakuambie kweli uchumi umekua na anayaona mafanikio ya kukua kwa uchumi wetubado tuna mfumuko mkubwa sana wa bei, bei za vitu sokoni na madukani hazishikiki na tunataka mtu wa kutuambia na kucompare na wakati kaka mkubwa anaingia madarakani kwa nini hali imekuwa hivi.

Kilo ya mchele kwa sasa hapa mjini ni karibu 2300 kutoka kwenye bei iliyokuwepo ya 700 mpaka 800 (ndio hali ya maisha imepanda na kuna msukosuko wa uchumi na bla bla za wachumi) ila ni nani mwenye huo uwezo wa kuafford bei hizo kwa sasa
Tunataka mtu wa kuzungumzia hayo . Azungumzie kauli za wanasiasa kuwa kilo ya sukari ni shilingi 1700 wakati hali halisi sio hiyo na wala wauzaji hawamsikilizi huyo mwanasiasa wanajiuzia kwa bei yao wanayoijua Azungumzie kufa kwa viwanda vyetu vingi ambavyo vilibinafsishwa kwa mategemeo kuwa vitaanza kufanya kazi na kuzalisha ajira ila kwa sasa vimegeuzwa magodown na vingine ni makazi ya popo na bundi kama Kilimanjaro Mashine Tools.

Sijaona kwenye mjadala mtu anayekuja na kitu cha kumtetea huyu kaka mkubwa zaidi ya sifa za ajabu eti ni kingozi bora kwa kipi haswa ambacho tutamtofautisha na mwingine na tutamsifu nacho na kumkumbuka Ambacho kitaendana na falsafa yake ya maisha bora kw akila mtanzania maana kilichopo kwa wanacnhi sasa sio maisha bora ni bora maisha yaani bora awepo tuu hana jipya, hakuna maendeleo yake wala ya watu walimzunguka maana kila anachoshika hakifai.
 
Dah minaona maswali hata hapa hayajibiwi..........au mi ndi sioni vizuri?
 
hahahaha................ila iyo ni cha mtoto ona hii unapewa mkopo gharama za kuzalishia ule mkopo ni kubwa kuliko hela yenyewe manake leo unakopa kwa thamani ndogo ya hela kesho unapata thamani ikiwa imepanda matokeo yake ni nini? wanakufilisi vikoshi na kiji tv chako jamani tanzania.........siiwez aisee
Hata hii yako cha mtoto,
Kali ni ile wewe ndio unawakopesha Serikali kilazima,
Halafu unakuja kulipwa ukiwa mzee, au pengine ukiwa ushakufa,
Ha ha ha ha!!!!!
 
Hawa waliopewa kuwa wakuu wa mijadala naona wameshindwa kukidhi kiu ya watu wengi hapa
Maelezo yao mengine yamekuwa ya kucopy na kupaste ambayo watu hawakutarajia
Walitarajia waone mtu anatoa data zake mwenyewe anatoa kile ambacho hata ukimface moja kwa moja anaweza kukisema moyoni...

kiukweli mr rocky umesema niliyokuwa nayawaza . ndio maana nimemwambia zomba mbona asituonyeshe kweli kwamba kaka mkubwa kafanya kitu? sasa hivi umefika wakati watanzania hawataki longolongo tena wanataka ukweli juu ya hali halisi manake wanauona. ukisema hakuna atakaye lala njaa je ni kweli?

nimemwambia twende mburahati mtu ananunua dawa ya mswaki sh 20 ya siku moja, ugali unasongwa mboga ni utumbo wa kuku wa sh 200 kwa familia nzima ikiwa ni miguu basi wanamegeana mguu mmoja wa kuku watoto wote. sisemi uongo watu wanakula ugali wa kurumangia na kachumbari wanayoipata kwa wauza migu na nvichwa vya kuku? hivi haya ndo maisha bora?

tunapandisha bei ya mafuta ya taa ili kunusuru uchakachuaji je ni watanzania wangapi wanaotumia magari ukilingaisha na watumia mafuta ya taa?leo hii shule ni aibu hadi chaki tu zinakosekana na kalam halafu tunasema hii ni maisha bora? tunaipenda sana ccm ila ituambie kweli kuna yepi mazuri kwa mwananchi wa kawaida aliyeko makete ama huko meatu?

angalia ajali za bara barani, ndege, majini jamani lol hapana ccm my lovely part mnatuangusha leo hii ni aibu sana kusema mm ni mwana ccm manake utaulizwa imekufanyia nini huna jibu.
 
Back
Top Bottom