Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

Nchi zoote ambazo wana law sex rate wana pata maendeleo sana ya kijamii. Nchi zetu za kiafrika tunaendekeza sana haka ka mchezo. May be kwa kuwa tuko idle sana mara nyingi, sasa kama Tanzania ni nchi isyo na furaha, lakini kwenye ufanyaji wa ngono ipo vzuri tuu.
Sasa kama watanzania hatuna furaha huoni kwamba hiyo furaha kidogo tuliyo nayo inatokana na kuhondomola? Kama isingekuwa hivyo basi furaha yetu ingekuwa 0%.
 
Kimaumbile mwanaume ana nguvu nyingi katika sex kuliko mwanamke ndo maana wao hawawezi vumilia muda mrefu kukosa ngono km sisi

Watawa na mapadri hauishi nao usiwasemee aisee kwa navyozijua nyege labda km wanaasiwa
Inawezekana hawapandani lkn wakajichua na kwa upande wa masista wasiharibu bikira zao na bado akakojoa
Mapadri hao wanagonga sana mpk kugeuzana nyuma na mpk kanisa linataka kuruhusu wawe wanaoa hiyo ni dhahiri wanato..ba

Upande wangu mimi uvumilivu bila dudu ni miezi mitatu mwisho ikiwezekana kila wiki nipandwe mechi kali hakika itapendeza
Sawa
 
Hahaha
Braza tena kuna reserches kabsa zimefanyika
Sex is not equal to happiness. Kwa hiyo wabongo sex zina wafanya tu mzaliane, mlete masingle mather, mpate magonjwa, mgombane, muwaze kusomesha watoto etc.
Zina waleta shda tuu
 
Hahaha
Braza tena kuna reserches kabsa zimefanyika
Sex is not equal to happiness. Kwa hiyo wabongo sex zina wafanya tu mzaliane, mlete masingle mather, moate magonjwa, mgombane, muwaze kusomeaha watoto etc.
Zina waleta shda tuu
Lete ushahidi mkuu. Kwani kugegeda ni tendo la huzuni au furaha?
 
Mkuu wewe hufahamu uwepo wa mapadri au watawa hapa nchini na kwingineko duniani?
Mbona nimekujibu kule nimekwambiq hivi wanapandana vizuri wakijizuia sana wanajichua km masista huwa wanapimwa bikira zao basi nikutaarifu tu kuwa inawezakana wanajichua pasipo kutoa bikira zao na wanakojoa vizuri mno wanakuwa wamepunguza ashki zao hiyo sio ngono?????????????
 
Ushahidi uko wapi mkuu?
 
Kimaumbile mwanaume ana nguvu nyingi katika sex kuliko mwanamke ndo maana wao hawawezi vumilia muda mrefu kukosa ngono km sisi

Watawa na mapadri hauishi nao usiwasemee aisee kwa navyozijua nyege labda km wanaasiwa
Inawezekana hawapandani lkn wakajichua na kwa upande wa masista wasiharibu bikira zao na bado akakojoa
Mapadri hao wanagonga sana mpk kugeuzana nyuma na mpk kanisa linataka kuruhusu wawe wanaoa hiyo ni dhahiri wanato..ba

Upande wangu mimi uvumilivu bila dudu ni miezi mitatu mwisho ikiwezekana kila wiki nipandwe mechi kali hakika itapendeza
nyege sio kitu kizuri mtu wangu
 
Na ukivuka miezi mitatu bila dudu.... Nini hutokea?
 
Lete ushahidi mkuu. Kwani kugegeda ni tendo la huzuni au furaha?
Hata kuangalia mpira ni tendo la furaha lakini endapo timu yako itashinda..

Na sex ni tendo la furaha ila lina hitaji conditions nyingi ziwe perfecf ili likamilishe hiyo furaha. Sex ina frequency, quality and quantity, mood, environment. Na ki binadamu ni watu wachache au ni mara chache conditiona zoote kukaa sawa ili happiness i link moja kwa moja na sex. Na kwa nchu kama zetu conditions nyingi ni hovyoo
 
Kimaumbile mwanaume ana nguvu nyingi katika sex kuliko mwanamke ndo maana wao hawawezi vumilia muda mrefu kukosa ngono km sisi

Watawa na mapadri hauishi nao usiwasemee aisee kwa navyozijua nyege labda km wanaasiwa
Inawezekana hawapandani lkn wakajichua na kwa upande wa masista wasiharibu bikira zao na bado akakojoa
Mapadri hao wanagonga sana mpk kugeuzana nyuma na mpk kanisa linataka kuruhusu wawe wanaoa hiyo ni dhahiri wanato..ba

Upande wangu mimi uvumilivu bila dudu ni miezi mitatu mwisho ikiwezekana kila wiki nipandwe mechi kali hakika itapendeza
Kapeace unaanza ee,unatutibua unajua wenzio
 
Back
Top Bottom