Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

Kimaumbile mwanaume ana nguvu nyingi katika sex kuliko mwanamke ndo maana wao hawawezi vumilia muda mrefu kukosa ngono km sisi

Watawa na mapadri hauishi nao usiwasemee aisee kwa navyozijua nyege labda km wanaasiwa
Inawezekana hawapandani lkn wakajichua na kwa upande wa masista wasiharibu bikira zao na bado akakojoa
Mapadri hao wanagonga sana mpk kugeuzana nyuma na mpk kanisa linataka kuruhusu wawe wanaoa hiyo ni dhahiri wanato..ba

Upande wangu mimi uvumilivu bila dudu ni miezi mitatu mwisho ikiwezekana kila wiki nipandwe mechi kali hakika itapendeza
We ka peace una mpango gan na mbavu zangu??
 
Ukiishinda vita ya ngono ndani ya ko jua hata kwa nje utaishika,
Ashki huanzia kichwani,kisha huhamasisha moyo na moyo husisimua matamanio ya mwili,matamanio hushinda nguvu mwili na kubinjuana kunafuata
 
Back
Top Bottom