Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Aaaaah kabisa, tukirudi tumevimbiwa.
Aki wewe! [emoji1] [emoji28]
Aaaaah kabisa, tukirudi tumevimbiwa.
Mwambie tupo njiani asijifanye hajui ana ugeni mkubwa.Aki wewe! [emoji1] [emoji28]
Basis karibu twende kwa Heaven Sent
Kila mtu abebe atavyokula kwa hizo siku 3 ie utakachokibeba ndicho utakachokila na mwenyeji wako, kikiisha wasalimiePouwa!, Tena tukakeshe siku tatu..
Aaaaah kabisa, tukirudi tumevimbiwa.
Hopefully ujumbe umewafikia[emoji13] [emoji13]Mwambie tupo njiani asijifanye hajui ana ugeni mkubwa.
Kila mtu abebe atavyokula kwa hizo siku 3 ie utakachokibeba ndicho utakachokila na mwenyeji wako, kikiisha wasalimie
Beba unga;maji, moto na sufuria kwanguOh yeaah!
Acha hizo T ake bhana, sasa mie mpenda Ugali nibebe Ugali halafu ukae siku tatu?
Beba unga;maji, moto na sufuria kwangu
Haha ninavyo vya kutosha, ila napikiaga mbogaMie huwa napikia ugali kwenye chungu ndo unakuwa mtamu, kwani una chungu wewe?!
Haha ninavyo vya kutosha, ila napikiaga mboga
T ake usisahau kama me ni mnyaki originale, vyungu havikosi. Afu mboga ya kwenye chungu sijui kwa nini inaongezekaga utamu jamani mweehTeh!, namaanisha cha udongo halafu, maana nyie wadada wa mujini mtafikiri nasema hot pot [emoji3]
T ake usisahau kama me ni mnyaki originale, vyungu havikosi. Afu mboga ya kwenye chungu sijui kwa nini inaongezekaga utamu jamani mweeh
Ntamuuliza bibi kesho teh, usijisahaulishe kubeba misosiHata mie huwa naona hivyo aseh!, sijui kwa nini chakula cha kwenye chungu kinakuwaga na ladha zaidi.
Kama kile cha kwenye open fire.
Ntamuuliza bibi kesho teh, usijisahaulishe kubeba misosi
Eti nisijisahaulishe! [emoji3]
Nitabeba basi mpaka na viungo..
Mpaka nimekumbuka shosti mmoja aligombana na mume akakasirika na kubeba kila kitu ndani, kuanzia kuanzia kijiko cha chai, mpaka nyanya na vitunguu vilivyobakia..
Haha hadi vitunguu dadeki
Roho mbaya hukuzaliwa nayo ujue!!!Kila mtu abebe atavyokula kwa hizo siku 3 ie utakachokibeba ndicho utakachokila na mwenyeji wako, kikiisha wasalimie
Hahahaaa! Hii nimeipenda kwakweli.Eti nisijisahaulishe! [emoji3]
Nitabeba basi mpaka na viungo..
Mpaka nimekumbuka shosti mmoja aligombana na mume akakasirika na kubeba kila kitu ndani, kuanzia kuanzia kijiko cha chai, mpaka nyanya na vitunguu vilivyobakia..