Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

Hivyo vni vitu vidogo tu.
Kama mpaka hapo ilipofika imekula 14Mil, basi ukiongezea 6Mil ingine unamaliza kila kitu.
Mkuu itabidi nikutafute.....Unaweza kunisaidia walau kwa kuanzia....
 
Nawashauri wale wote wanaotaka kujenga acheni kujidanganya kama vile ambavyo tulizoea mtu aumwapo malaria.......sijui sasa hivi watu wanafanyaje wakiumwa malaria.....lakini enzi zile za Chloroquine....watu tulishajitengenezea formula zetu za ku-copy 4-4-2.....wengine walikuwa na formula 4-4-3-2....yaani ili mradi tu kila mtu alikuwa daktari....basi wengine wanapata nafuu/pona na wengine kuishia kupata kichaa cha malaria..........

....same kwenye issue ya ujenzi wa nyumba.....kila mtu ana experience yake kutokana na mazingira....sio mbaya ku-share experience lakini ni vema sana kuwa waangalifu.......experience unayoipata kutoka kwa watu mbali mbali iwe kama kiashiria au guideline ya kukuonyesha jambo unalotaka kulifanya........LAKINI MSIACHE KUWAONA WATAALAMU HUSIKA ili wakupe ushauri wao wa uhakika na uwe certified......tuache ujanja ujanja na hasa kwenye investment kama hizi za maisha yetu....

......tuwatumie Architects, Engineers, Quantity Surveyors na bila kusahau Technicians kwenye kusimamia ujenzi wa structures zetu........mkisikia wataalamu hao wala msiwaogope......gharama zao ni za kawaida sana......kulinganisha na comfort level utakayokuwa nayo wewe kama client......kwenye ujenzi mzima kuhusu quality, health & safety, life span, na kwa kulingana na bajeti yako.......

Wataalamu hao watakushauri pia jinsi ya kujenga in phases kama bajeti yako ni ya msimu......

Usimamizi wa procurement za material wewe kama client inabidi uwe karibu sana na hata kwenye matumizi ya materials zenyewe........

Ninachotaka kusema hapa ni suala zima la "Value for money you spend"........na ukifuata ushauri wa wataalamu hao juu....hakuna fundi atakaye-"kuzuga" au kukuingiza mjini....kwani facts zote utakuwa nazo.......
 
But u can buy a plot first.kuna viwanja chanika vingi sana na bei rahisi .kuanzia 4mil. 0713959290
 
Jamani naomba niulize kwa wana JF ambao ni wataalamu wa ujenzi.

Naomba wanipatie bajeti ya kujenga nyumba ya kawaida yenye vyumba 5, sebule, kitchen, dinning na sitting room ina cost kwa makisio shilingi ngapi?

Naomba nielimishwe,

Asanteni.

kwan bajeti yako ni shiling ngapi?
 
Nahitaji kujua estimates za KUCHIMBA shimo la kuhifadhia maji ya Mvua lenye futi 15
 
Unataka liwe na lita ngap?la pembe nne au la round?upo wapi? Hapo ulipo kuna mchanga au mawe?
 
Mkuu Mashauri nakushauri nunua uwanja ujenge mwenyewe kwa kutumia wataalam wa ujenzi kununua kuna athari nyingi unaweza kuta plan iliyotumika sio ulivyopenda nyumba yako iwe,au material waliyotumia wakati wa ujenzi sio standard,ukijenga mwenyewe hata kama utawweka mkandarasi na wewe utapata nafasi ya kupita na kuangalia maendeleo.




Ninawashukuru wote mnashare ujuzi wenu hapa,,,,GOD BLESS YOU.
 
Tumieni tofali za Hydraform ktk ujenzi wenu but inabidi mwende kwa wakala wao wako dar ghalama za ujenzi zitapungua kwa asilimia 30% ukilinganisha na ujenzi wa tofali za cement.angalia hiv sasa hata serikali kupitia NHC wanatumia sana ujenzi wa Hydraform but wao wanawatumia mawakala direct wengine wanachakachua ratio ya tofali so inakosa ubora
 
habari

nimeanza kazi tempo ya miaka 3,ninaweza kusave laki tano kwa mwezi meaning kwa mwaka milioni 6 na ndani ya miaka mitatu nitakayofanya kazi nitakuwa nimesave milioni 18,swali langu linakuja hapa,je hii pesa inatosha kujenga nyumba? wakuu mlifanyaje kujenga nyumba zenu???nisubiri nisave nijenge kwa awamu tatu? au niende kila mwezi najengakidogo kidogo,siwezi kuandikishana na mtu/contractors niwape pesa wanijengee?
 
Back
Top Bottom