Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,054
- 3,255
Biashara ya kuuza matunda. Mfano anaweza akanunua matikiti akawa anauza vipande vya sh200,sh500,sh1000 n.k. Inalipa kiasi chake mana kuna ndugu yangu alijenga nyumba yake kwa hii biashara japo aliifanya kwa muda mrefu kiasiHabari za muda huuu wanajamvi
Naomba nina mdogo wangu wa kiume amemaliza degree ya ualim sayasi Biology & chemistry mwaka huu 2018 sasa amejibana bana amepata 50000(elfu hamsini) je ni biashara ngani au ni kitu gani anaweza kufanya hasa mazingira ya DAR HASA GONGO LA MBOTO NA MAENEO YA KARIBU AU HATA ENEO LOLOTE KATIKA JIJI LA DAR na kikamuingizia kipato huku anasubri hizi ajira za serikali maana tempo znasumbua
USHAURI TAFADHAR