Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

Habari za muda huuu wanajamvi
Naomba nina mdogo wangu wa kiume amemaliza degree ya ualim sayasi Biology & chemistry mwaka huu 2018 sasa amejibana bana amepata 50000(elfu hamsini) je ni biashara ngani au ni kitu gani anaweza kufanya hasa mazingira ya DAR HASA GONGO LA MBOTO NA MAENEO YA KARIBU AU HATA ENEO LOLOTE KATIKA JIJI LA DAR na kikamuingizia kipato huku anasubri hizi ajira za serikali maana tempo znasumbua

USHAURI TAFADHAR
Biashara ya kuuza matunda. Mfano anaweza akanunua matikiti akawa anauza vipande vya sh200,sh500,sh1000 n.k. Inalipa kiasi chake mana kuna ndugu yangu alijenga nyumba yake kwa hii biashara japo aliifanya kwa muda mrefu kiasi
 
Katika vitu sipendi ni kubanana, napenda sana nikiwa na nyuma iwe na vyumba vitano vya kulala, chumba cha self kimoja cha baba na mama, chumba cha pili cha self cha wageni waheshima mfano wazazi, chumba cha tatu cha watoto wa kiume, cha nne cha watoto wa kike, cha tano cha msaidizi wa kazi wa nyumbani.
 
Fanya tu vyote viwe self contained
 
Hii imekaa sawa kweli? ina maana kwa nyumba ya vyumba 5 alioulizia mkuu inaweza kuwa around Tzsh 25 - 30 Million?.

Hii ukikadiria kwamba kila chumba kitakuwa na ukubwa wa 10 square meters. ((10 x 5) x 500,000) = 25,000,000.

Kwa utaratibu huu mbona gharama zitakuwa ni ndogo ukilinganisha na gharama tunazozisikia kila siku?
Yawezekana wengi tunapigwa
 
Kuna mdau kazungumzia tofali za cement na udongo wa kichuguu hebu mwenye uelewa mzuri na hiki Kitu anifafanulie kidogo nami niweze kuitumia kwenye Ujenzi wangu
 
Kwa Ujenzi wa Nyumba Kama Hii Nzuri Yenye Ubora yenye Urefu wa Mita 18 Kwa Mita 12 Unahitaji Kiasi Cha Tsh Milion 55 tu Kwa Ajili ya Kumiliki Nyumba Kama Hii Tuwasiliane Kwa Namba Hizo chini Kwa Ushauri Mbalimbali wa UJENZI wa Nyumba za Makazi Mfano Ghorofa na Nyumba za Kawaida Pamoja na Nyumba za Biashara ,Mashule

Tupigie kwa:-

0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)
0738-885806(TTCL Call)

ONE2ONE FOCUS TANZANIA

ONE2ONE FOCUS TANZANIA LTD

MAKUMBUSHO COMPLEX STENDI JENGO LENYE ATM YA CRDB(Floor ya Kwanza)

Tunajenga na Tunasimamia Ujenzi wako Kuanzia Hatua ya Awali Foundation Mpaka Finishing Sambamba na Kufuatilia Kibali cha Ujenzi na Kutengeneza Ramani ya Nyumba yako

Pia Tunafanya Interior Design ya Ujenzi na Majengo Mbalimbali

Pia Tutatengeza Ramani na Kuandaa BOQ ama Makadirio ya Ujenzi wako Kwa Gharama Nafuu Kabisa

NB;Tunajenga Kwa Malipo(Cash) na Sio Kwa Malipo ya Mkopo.

Tupitie kwenye Tovuti yetu hapo Chini

follow a link to this website: http://one2onefocustanzania.co.tz/ @ Dar es Salaam, Tanzania @ Dar es Salaam, Tanzania

Karibu sana ofisini kwa ushauri na Kazi za UJENZI

Tunajenga Ujenzi wa Kuanzia Hadi Tsh Milion 20 na Kuendelea

Tuna MAFUNDI Waliobobea na Utaalamu wa Hali ya Juu
IMG-20171207-WA0043.jpeg
IMG-20171207-WA0040.jpeg
 
Tuna MAFUNDI Waliobobea na Utaalamu wa Hali ya JuuView attachment 890381View attachment 890383
picha hazijakidhi mahitaji na kuyapa macho ufanisi,ongeza nyingine zenye kuonyesha nyumba vizuri
 
Si bora ajenge Ghorofa kwa hiyo 200M
JF kwa kutishana hawajambo,nyumba ya M200 si ya kitoto hekalu hilo,sie vijumba vyetu hivi vya kujenga kinzudi,vijibweni,majohe,chanika huko vyumba vitatu,jiko,sebule,dinning,choo store,studying room(mbwembwe tu) imeenda sana sana haizidi milioni 60
 
Back
Top Bottom