Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

G

Guantanamo Bay

Member
Joined
Feb 6, 2009
Messages
29
Points
0
G

Guantanamo Bay

Member
Joined Feb 6, 2009
29 0
Jamani naomba niulize kwa wana JF ambao ni wataalamu wa ujenzi.

Naomba wanipatie bajeti ya kujenga nyumba ya kawaida yenye vyumba 5, sebule, kitchen, dinning na sitting room ina cost kwa makisio shilingi ngapi?

Naomba nielimishwe,

Asanteni.

======
SIMILAR CASES:
Ndugu wanaforum,

Naomba Ushauri wenu juu ya ujenzi wa nyumba Dar.

Kutokana na uwezo mdogo, nimeshauliwa nitumie system inyoitwa interlocking blocks, amabyo inatumia tofari zinazotokana na mchanganyiko waudongo wa kisuguu na cement.

Swali:
Je, hii teknolojia ipo Dar?
Je inasaidia kupunguza gharama za ujenzi na kwa % ngapi ukilinganisha na nyumba ya tofali za Cement za kawaida?
Je, nyumba hiyo inaweza kudumu mda mrefu kama ya cement?

Nipeni ushauri ndugu zangu.
 
Masai Ladislaus Masai

Masai Ladislaus Masai

Senior Member
Joined
Sep 16, 2017
Messages
189
Points
250
Masai Ladislaus Masai

Masai Ladislaus Masai

Senior Member
Joined Sep 16, 2017
189 250
Hii estimate ni sahihi??!

Stucture yangu ni 10x11=110sqm. X500,000=55,000,000. This isn't realistic in a Tz context. Mimi nimejenga kwa 15mil tu. Kama hizo ndo estimate mnazofanya kwenye miradi ya serikali ndo maana hatuendelei.
Una point nzuri sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hammy Js

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Messages
3,046
Points
2,000
Hammy Js

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2017
3,046 2,000
Habari za muda huuu wanajamvi
Naomba nina mdogo wangu wa kiume amemaliza degree ya ualim sayasi Biology & chemistry mwaka huu 2018 sasa amejibana bana amepata 50000(elfu hamsini) je ni biashara ngani au ni kitu gani anaweza kufanya hasa mazingira ya DAR HASA GONGO LA MBOTO NA MAENEO YA KARIBU AU HATA ENEO LOLOTE KATIKA JIJI LA DAR na kikamuingizia kipato huku anasubri hizi ajira za serikali maana tempo znasumbua

USHAURI TAFADHAR
Biashara ya kuuza matunda. Mfano anaweza akanunua matikiti akawa anauza vipande vya sh200,sh500,sh1000 n.k. Inalipa kiasi chake mana kuna ndugu yangu alijenga nyumba yake kwa hii biashara japo aliifanya kwa muda mrefu kiasi
 
omari kinyemi

omari kinyemi

Member
Joined
Nov 1, 2015
Messages
77
Points
95
omari kinyemi

omari kinyemi

Member
Joined Nov 1, 2015
77 95
Karibuni sana Kwenye Kampuni yetu Kwa Ajili ya HUDUMA YA UJENZI WA NYUMBA BORA ZA MAKAZI NA BIASHARA
 
ChoiceVariable

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Messages
3,578
Points
2,000
ChoiceVariable

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined May 23, 2017
3,578 2,000
Wataalamu gani walikuchorea mabox ww,mnadanganywa na mafundi mitaani mnasingizia wataalamu acheni undezi
 
H

halikatwe

Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
47
Points
125
H

halikatwe

Member
Joined Sep 16, 2016
47 125
wadau nataka nifunge mkanda wa chumba kimoja na choo chake ivi naweza kuwapa shngapi natumia local fundi
 
noney

noney

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Messages
413
Points
1,000
noney

noney

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2015
413 1,000
Katika vitu sipendi ni kubanana, napenda sana nikiwa na nyuma iwe na vyumba vitano vya kulala, chumba cha self kimoja cha baba na mama, chumba cha pili cha self cha wageni waheshima mfano wazazi, chumba cha tatu cha watoto wa kiume, cha nne cha watoto wa kike, cha tano cha msaidizi wa kazi wa nyumbani.
 
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
20,308
Points
2,000
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
20,308 2,000
Katika vitu sipendi ni kubanana, napenda sana nikiwa na nyuma iwe na vyumba vitano vya kulala, chumba cha self kimoja cha baba na mama, chumba cha pili cha self cha wageni waheshima mfano wazazi, chumba cha tatu cha watoto wa kiume, cha nne cha watoto wa kike, cha tano cha msaidizi wa kazi wa nyumbani.
Fanya tu vyote viwe self contained
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
5,869
Points
2,000
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
5,869 2,000
Hii imekaa sawa kweli? ina maana kwa nyumba ya vyumba 5 alioulizia mkuu inaweza kuwa around Tzsh 25 - 30 Million?.

Hii ukikadiria kwamba kila chumba kitakuwa na ukubwa wa 10 square meters. ((10 x 5) x 500,000) = 25,000,000.

Kwa utaratibu huu mbona gharama zitakuwa ni ndogo ukilinganisha na gharama tunazozisikia kila siku?
Yawezekana wengi tunapigwa
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
5,869
Points
2,000
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
5,869 2,000
Kuna mdau kazungumzia tofali za cement na udongo wa kichuguu hebu mwenye uelewa mzuri na hiki Kitu anifafanulie kidogo nami niweze kuitumia kwenye Ujenzi wangu
 

Forum statistics

Threads 1,334,988
Members 512,162
Posts 32,492,500
Top