Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

Kwa Ujenzi wa Nyumba

Ujenzi wa Godown

Ujenzi wa Maghorofa

Kwa Kutumia
1.Tofali za Aina Mbalimbali Kuanzia Chipping na Kawaida

Kwa Ujenzi wa Nyumba Kuanzia Tzs Million 25

Unakaribishwa Kwa Ujenzi Safi

Kwa Mafundi Waliobobea na Wataalamu wa Hali ya Juu Karibu Kwenye Kampuni Yetu Kwa Ujenzi Bora.

Tuna Project Nyingi za Ujenzi Katika Mikoa ya DODOMA,DSM na KIGOMA

Pia Tutatengeza Ramani na Kuandaa BOQ ama Makadirio ya Ujenzi wako Kwa Gharama Nafuu Kabisa

Tupigie kwa

0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)

OMARI RAJABU
ADMINSTRATION OFFICE
EYESONEPROPERTY TANZANIA LTD

DAR ES SALAAM TANZANIA

Tunajenga Mkoa Wowote

Tupitie kwenye Tovuti yetu hapo Chini

follow a link to this website: Eyeson - properties and real estate
 
kitu kama iko ghorofa 1 inaweza kukust kama bei gan
 
Sasa mkuu hizo nyumba ni zako ama? Maana kama ndio ingekuwa zangu ningedai posho kidogo, maana zinakutangazia biashara yako.

Alafu pia usiwasahau kuwapa posho zao za tangazo jf

Kazi nzuri mkuu, komaa tu
 
Nyumba Peke yake ni Milion 65-70 na Fensi ya Nyumba Makadirio ni Milion 25 so Kwa Maelezo zaidi na Vipimo vya Plots yako na Aina ya Nyumba Unayojenga Karibu Ofisini

Mkuu! Mbona bei ipo juu sana!!! Nyumba kama hiyo nlokutumia iwe ya viumba vitatu ni 70 milioni? + fensi 95 milioni mkuu!!
 
Kwa makadirio ya kawaida ni million 40 ila bei inaweza kuongezeka au kupungua kutokana na materials tutakayo yatumia karibu sana kiongozi .

Mkuu! Mbona bei ipo juu sana!!! Nyumba kama hiyo nlokutumia iwe ya viumba vitatu ni 70 milioni? + fensi 95 milioni mkuu!!
 
View attachment 700089

Mkuu! Mbona bei ipo juu sana!!! Nyumba kama hiyo nlokutumia iwe ya viumba vitatu ni 70 milioni? + fensi 95 milioni mkuu!!
Kwa Aina ya Nyumba Ulioonesha Ndio Bei yake so Kwa Uhakika zaidi Njoo Ofisini na Ramani yako Tufanye Estimate ya Kisayansi Kwa Uhakika zaidi Maana Makadirio Halisi ni Muhimu Yafanyike On Papers ...Hivyo Tuwasiliane Kwa 0715-908698(WhatsApp/Call) au 0759-538688(Call Only)
 
Tatizo lako liko Wapi ???? Mkuu
Tatizo langu ni kwamba, unatumia kazi YANGU kutangaza biashara yako bila idhini yangu...

Tangu mwanzo najaribu kukwepesha Kusema ni kazi yangu nikijua utaelewa( kukutunzia heshima), kumbe ndo kwaaanza unazidi kukaza..

NADHANI UMEELEWA MKUU..
 
Kazi yako kivipi
 
Labda tueleweshane na kusaidiana katika hili,
Kinachowafanya nikijenga kupitia nyie iwe gharama nafuu kuliko nikijenga mie na mafund wangu ni nini hasa??
 
Shukran mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…