Mizimu ya mkwawa iliwapanda wanafunzi wa (muce)baada ya loan officer kuchelewa kutupia mzingo wetu!

magoye

Member
Sep 13, 2013
37
0
mizimu ya mkwawa iliwapanda wanafunzi wa mkwawa university baada ya kuchelewa kutupia boom! na kuamua kuweka tanganzo la kuweka maandamano ya kudai boom! lkn faster wakaliachia mambo poa kwa sasa!
 
Wadau mnisaidie niko iringa nataka kwenda dsm lakini swala la usafiri limekua tata sana kuna nini? Kama kuna mdau wakunipa msaada plz nipate usafiri.
 
Simama hapo ndiwila njia panda kama sijakosea utapata malori na mafuso asubuhi saa kumi na mbili upo dsm
 
mizimu ya mkwawa iliwapanda wanafunzi wa mkwawa university baada ya kuchelewa kutupia boom! na kuamua kuweka tanganzo la kuweka maandamano ya kudai boom! lkn faster wakaliachia mambo poa kwa sasa!

Gomeni mdai haki yenu
 
Back
Top Bottom