Wadau mnisaidie niko iringa nataka kwenda dsm lakini swala la usafiri limekua tata sana kuna nini? Kama kuna mdau wakunipa msaada plz nipate usafiri.
mizimu ya mkwawa iliwapanda wanafunzi wa mkwawa university baada ya kuchelewa kutupia boom! na kuamua kuweka tanganzo la kuweka maandamano ya kudai boom! lkn faster wakaliachia mambo poa kwa sasa!
Wadau mnisaidie niko iringa nataka kwenda dsm lakini swala la usafiri limekua tata sana kuna nini? Kama kuna mdau wakunipa msaada plz nipate usafiri.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us
Thread starter | Title | Forum | Replies | Date |
---|---|---|---|---|
![]() |
Darasa la Mwisho Kufunga MKWAWA sekondari Iringa | Jukwaa la Elimu (Education Forum) | 5 | |
![]() |
Kipi chuo bora cha ualimu wa Sanaa kati ya UDOM na MKwawa? | Jukwaa la Elimu (Education Forum) | 0 |